Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umenipa mzigo unadhani utaniona tena!!? never. Mmezoea umatonya. Hivi mnadhani wanaume hatuna mambo mengine ya kufanya!!!? hatuna ndugu!? hatuna yatima mtaani kwetu!!? mtaliwa sana aisee
17 Reactions
179 Replies
13K Views
Wanawake wengi wamekosa ubunifu wamegeuka kuwa ombaomba kwenye relationship ila wameshindwa kung'amua ya kwamba mwanamke asiyeomba omba ovyo huwa anafanyiwa mambo makubwa tena mazuri kuliko yule...
13 Reactions
118 Replies
10K Views
ASSALAM aleikum mpenzi msomaji wangu, umzima? Unaendeleaje na mishughuliko yako? Mimi mzima, namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa wale wanaopendwa. Yes, mimi napendwa na hiyo ni...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu naomba maujuzi nawezaje kumkomoa demu kwenye sex (ku.t.om.ba) kuna demu kazingua kitambo sana, sasa naona mashetani yake yamekaa vema kanikubalia lile tendo pendwa nataka kumkomoa. Naomba...
0 Reactions
102 Replies
9K Views
Matiti Kulala (Malapa) au Kusimama (Saa sita) imekuwa ni jambo muhimu sana katika kuvutia mwonekano wa kimapenzi (Sex Attraction) kwa Wanawake. Baadhi ya wanawake ili waonekane kuvutia kimapenzi...
2 Reactions
59 Replies
57K Views
Habari zenu wakuu, Ninatumaini sote ni wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku. Kuna swala ambalo ningependa kuujua mtazamo wenu.Kwa sasa hivi teknolojia inatuwezesha kujua...
0 Reactions
30 Replies
23K Views
True story Unaweza kudhani maumbile makubwa kwa mwanaume yanaweza kukusaidia, ama sijui kula mikaranga na mi pweza ila nimeamini, nguvu ya kiume ya kweli inatokana na ku control ubongo wako...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji ushauri wa haraka kwa kweli maana nnakoelekea hali yangu itakua mbaya sana, Miaka mitano imepita tangu nioe na tuna watoto watatu na mke wangu lakini katika miaka yote...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
:eek: Katika mambo ya ajabu hapa duniani, Suala la MAPENZI ni miongoni mwa mambo ya ajabu sana yaliyopo!. Inashangaza sana kuona: 1. Kiongozi Mkubwa kabisa kabisa lakini kwenye mapenzi utashangaa...
1 Reactions
18 Replies
47K Views
NAOMBENI USHAURI NIKO KWENYE NDOA CHANGA YA MWAKA MMOJA ILA MKE WANGU ANATENGENEZA HABARI ZA KUNIFARAKANISHA NA FAMILIA YAKE. Imefika kipindi anawapigia familia yake simu na kuwaambia namtesa...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Kumekuwa na habari za wanaume wengi kusalitiwa na wapenzi au wachumba wao na kutokana na visa hivyo kuwa vingi, basi ikawekwa conclusion kuwa ukimsomesha mchumba basi lazima akusaliti! Hii si...
7 Reactions
274 Replies
22K Views
Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19 Usimpe mwanamke...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya kumuona kaka yangu kanawiri , kawa kijana , kanenepa, leo kwa kilio kikubwa kafunguka hadi mimi mwenyewe nimelia kaka yangu mwezi wa nane alifumaniwa na mkewe , mara ya tatu hii. Mke...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili jambo kipindi cha nyuma sikuona kama ni tatizo lakini sasa naanza kuona ni tatizo siku nimekaa nikapiga mahesabu ya idadi ya wanawake niliotembea nao ni zaidi ya 500 hao ndio ninawakumbuka...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ilikuwa mwaka 2011 Nlipata Bint mmoja mambo safi toka Arusha. Baba yake anamiliki Kampuni kadhaa za Kitalii na anafanya Biashara ya Madini. Bint alikuwa Ganster ile mbaya yaani usipokuwa imara...
72 Reactions
138 Replies
15K Views
Salaam wa MMU Hii ni taadhari kwa wale jamaa wanaoishi Mwanza na wanapenda kununua makahaba Maeneno ya mabatini karibu na kambi ya FFU kuna kundi la machangudoa wanajiuza pale ,bei zao ni...
3 Reactions
23 Replies
32K Views
Nina mchumba nipo nae mda na nna mipango nae japo bado sijamuonyesha yet ila nimeridhika nae. Mimi ndie niliemtoa sield/kufungua njia na ni mda mda ka miaka mi3 nyuma ndo nlitunukiwa iyo zawadi...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Ni rafiki yangu wa karibu sana ambaye tulikua siku zote tuko pamoja katika mihangaiko na harakati ya kuisaka shilingi na kuijenga nchi. Jamaa alimpenda sana mkewe mama Irene(sio jina lake halisi)...
6 Reactions
33 Replies
7K Views
Wazee unajua kwenye life mambo meng sana hua yanatokea ....sa kuna iisue moja hapa ...kuna mtu alikua kwa long dstance rship ...demu yupo songea mwana yupo Dodoma ...na unajua ugumu wa haya mambo...
0 Reactions
4 Replies
892 Views
karibu utoe mtazamowako juuya hili, kipi bora KUWA NA NDOA ZA GHARAMA KUUBWA SANA AU KUWA NA NYUMBA ZENYE MAISHA MAZURI BAADA YA NDOA? je nijambo jema kutumia gharama kuubwa sana kwenye ndoa na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…