Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 255
- 529
True story
Unaweza kudhani maumbile makubwa kwa mwanaume yanaweza kukusaidia, ama sijui kula mikaranga na mi pweza ila nimeamini, nguvu ya kiume ya kweli inatokana na ku control ubongo wako zaidi.
Miezi kama sita iliyopita nilipompata huyu mpenzi wangu wa kwanza ambaye ndo nipo naye kwa sasa, nilikuwa katika nafasi ya kujihisi kama labda nna upungufu wa nguvu za kiume. Maana nilikuwa na tabia ya kukojoa bao la kwanza ndani na chini ya dakika tatu.
Hakuna kitu klikuwa kinanikera kama hiki kuona wewe umeshakojoa halafu mpenzi wako ndo moto umempanda anadai umt*mbe, nikawa najifikiria hapa ndo mwanzo na sababu ya ama kugongewa ama kuachwa kabisa.
Niliadhimia kutatua hili tatizo nikaanza kula makaranga lakini wapi, ma pweza lakini wapi, mazoezi lakini wapi...
Siku moja wala sio siku nyingi sana, mchumba wangu akaniambia inabidi ujicontrol. So nakumbuka next day nikajisemea na mimi itabidi nijicontrol ila sikujua itakuwaje. So ikafika siku ya game, kama kawaida ila leo nikajisemea siwez kukojoa mapema.
So nilijitahidi ku relax ubongo na moyo.. nikawa wakati naanza naenda taratibu.. ila mda ukazidi kwenda nikiwa sasa naenda speed ya kawaida na nikawa nahisi udhabiti. Niseme tu ukweli kwa mara ya kwanza nilienda bao la kwanza kwa kati ya dakika 25-35 sikuhesabu vizur ila ni zaidi ya 25. Kiasi mpaka jasho mwili mzima lilikuwa linanitiririka na bado nilikuwa stable mpaka nilipoamua mwenyewe kukojoa.
Kwangu lilikuwa ni badiliko kubwa mno maana siku mbili kabla nilikojoa kwa chini ya dakika 3. Lakini leo nimeweza kuhimili dakika hizo zote.
So ushauri wangu kwa wanaume wenzangu wanaohisi sijui wana matatizo ya nguvu za kiume, mnatakiwa kujenga hali ya kucontrol ubongo zaidi kuliko vitu vingine. Sio mikaranga, mi pweza, sijui mi dawa gani asilimia karibu 70% ya nguvu zako za kiume ni namna gani unaweza ku control ubongo wako.
Disclaimer: sio tangazo (nna mpenzi mmoja na wa pekee na furaha yake ya majamboz ndo imenifanya nilete huu uzi leo japo sijazoea kuandika humu)