angazabade
New Member
- Feb 27, 2018
- 3
- 3
karibu utoe mtazamowako juuya hili, kipi bora KUWA NA NDOA ZA GHARAMA KUUBWA SANA AU KUWA NA NYUMBA ZENYE MAISHA MAZURI BAADA YA NDOA?
je nijambo jema kutumia gharama kuubwa sana kwenye ndoa na harusi zake na pesa zote zikaisha, baada ya ndoa maisha yakabaki kuwa ya kimaskini? katika jamii zetu hasa kwa hapa tanzania imezoeleka kuwa na bajeti kubwa za harusi na kusahau kuwa baada ya harusi huwa maisha yanaendelea!. je nibusala kuwazawadia maharusi friji badala ya kuwapa mabati,kiwanja au nyumba?. tunapokuwa katika harusi tunapaswa kukumbuka kuwa baada ya hapo maisha yataendelea, harusi ya gharama ndogo maisha mazuri na harusi ya gharama kubwa maisha ya taabu, uchaguzi ni wetu.