Machangudoa wa Mabatini-Mwanza na ushirikiano wa Polisi Jamii katika kuchukua rushwa/hela kwa wateja

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wa MMU

Hii ni taadhari kwa wale jamaa wanaoishi Mwanza na wanapenda kununua makahaba

Maeneno ya mabatini karibu na kambi ya FFU kuna kundi la machangudoa wanajiuza pale ,bei zao ni simple sana kuanzia elfu 2000 unakula K,kumbe ni mtego
Inshu ipo hivi:-

Ijumaa iliyopita nilikua rafiki angu mjini kati tunapata moja moto moja baridi, baada ya muda tukaamua tuondoke but rafiki angu akaniambia ana ugwadu hivyo nimsindikize pale mabatini akachukue Malaya mmoja amle fasta turudi makwetu tukaondoka mdogo mdogo mpaka pale

Jamaa akaongea na mdada mmoja na bei akasema ni elfu 2 wakaingia ndani

Mimi nikaenda pembeni zilipopaki boda boda nkaanza kupiga nao story, ile sijakaa sawa wananiambia "oya mwenzako unajua kakamatwa na polisi jamii sijui wanampeleka wapi,hiyo ilikua SAA 5 usiku"

Nikaanza kuwauliza vizuri wakaanza kunisimulia kwamba wale makahaba washapanga dili na polisi jamii wanaweka hela ndogo ukijichanganya kwenda nae ndani kabla hujaanza kula mzigo au upo katikati ya game unashangaa jamaa wanaibuka na kukuweka chini ya ulinzi,kinachofuata hapo ni kukupeleka njia ya mjini ili wakupeleke central humu njiani unaambiwa utoe hela elfu 30 mpaka laki ili wakuachie,si unajua serikali imepiga marufuku biashara ya ukahaba,so ili kuepuka kwenda butimba unatoa unaachiwa

Then kwa wakati wao wanakutana na yule kahaba wanagawana hela

Sasa bahati nzuri rafiki angu nae mtoto wa mjini akawatia sound wakamwachia akarudi na kunisimulia jamaa walitaka awape laki

N.B wale wanaume wenzangu wanaoishi mwanza na wanapenda kununua Malaya pale mabatini kuweni makini kuna mbinu chafu za kupiga hela zinazofanywa kati ya wale machangudoa kwa kushirikiana na police jamii, kuweni makini mtaumbuka na kufedheka pale unapopelekwa butimba kwa kosa LA kukutwa unatia changudoa wakati una mke kwenu

OVA
 
Hao Malaya wanafanya biashara mbili tofauti zote zikiwa ni biashara za hatar sana,ya kwanza ni yakujiuza na ya pili ni ya kuwachomekea watu kwenye mikono ya mapongo (halafu huwa siwazimii hata kidogo hawa majamaa),ndyo chanzo cha wao kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana au kuliwa tigo!
 
Mambo gani haya ya kuharibiana biashara usawa wenyewe mnauona
 
Mazee uyo malaya alikubali elf mbili kweli au umekosea kuandika nipe na direction ya ilo chimbo mzee baba me mwenyewe baharia so husiofu kuhusu hao migambo
 
Ahsante kwa taarifa!!

Tukienda huko kununua hiyo bidhaa tutachukua tahadhari stahiki!!
 
Mazee uyo malaya alikubali elf mbili kweli au umekosea kuandika nipe na direction ya ilo chimbo mzee baba me mwenyewe baharia so husiofu kuhusu hao migambo
Alisema buku 2 si alijua jamaa akikamatwa akatoa hela atagaiwa zaidi ya hiyo buku 2 so hiyo bei ni kama chambo ushawishike
 
Back
Top Bottom