chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Kumekuwa na habari za wanaume wengi kusalitiwa na wapenzi au wachumba wao na kutokana na visa hivyo kuwa vingi, basi ikawekwa conclusion kuwa ukimsomesha mchumba basi lazima akusaliti!
Hii si kweli, kuna watu wanasomeshana vizuri lakini wakisomesha na bila kusalitiana inakuwa sio habari na inaisha kimya kimya maana mtu akimsomesha mchumba wake then akamaliza wakaoana nani atalizungumzia? Hakuna kwa sababu ni jambo la kawaida
So kuna wanaosomeshana wengi na binafsi namjua mmoja amemsomesha mchumba wake na walioana siku za karibuni..
Tafakarini.