Jamani naombeni ushauri

lord jozee

Senior Member
Sep 14, 2017
138
73
Wazee unajua kwenye life mambo meng sana hua yanatokea ....sa kuna iisue moja hapa ...kuna mtu alikua kwa long dstance rship ...demu yupo songea mwana yupo Dodoma ...na unajua ugumu wa haya mambo hasa kwa wanaume kuvumilia nn ni tatzo sasa mwana akachepuka kimtindo akamfuata mdada wa watu akajaa sa na mwana sio player kusema ahit na kurun ..ikabd ajiweke tym inaenda huyu manz wa dom akajua jmaa ana mtu songea ...

Manz akaiba namba akamtukana mwenzie na kumuambia aachane na mtu wake ...sema uyo demu wa songea is kinda grown up na anajielewa akajamtafuta mtu wake akamuelezea kila kitu akampa na namba a uyo mtu alomtafuta,kabla jamaa hajaannza jitetea akamuambia ...sitaki unidanganye me nakupenda na nimekusamehe....basi rship zikarud kwenye track demu wa songea anapgwa fix nimeachana na wa huku na wa huku anapgwa fix ...baadae jamaa anakuja mwambia uyu manz wa huku dom kua me niko kwa mahusiano na mtu ulompigia simu ndo mtu naempenda for real na naona ndo mtu anaenifaa ....

Kama kawaida ya watot wa kike kulia kalia jmaa akashndwa kua serious kumkazia ikabd aendelee kujipigia tuu muda si muda manz ana mimba na kutoa hatak (uyu wa dom) na msela hana namna ...manz wa songea bado anampenda ila huyu wa dom alimtenda vtu vng vbaya na bado yupo nae so is kinda dillema hata haelewi kama uyu manz wa huku kama hatokuja retaliate akisema amuache mtu wake wa songea ...ila till now jamaa ameamua kupanga na anaishi na uyo bint wa huku dom ...

Ila ktu kinachompa maswali yaso na majibu ni kma uyu manz wa huku anampenda kweli au anamvizia tuu ili amlipze ....ila mwna anadai hawez mtamkia uyo mtu wake wa songea kua it's over sababu anahofu anaeza kuja jiua kwana hajawai mkosea lolote and she has been so helpful kwake na ni mtu anaempenda na hata huwa hamuwazii kama jamaa atakuja mtenda.....

If u get time naomba ushauri even a bit koz me mwenyewe nimemshauri akae tuu na uyu mtu wa dom, uyo mtu wa mbali apunguze kumjali na kumtafuta na ajifanye awe bize kwa kua itafika tym atachoka na kuamua kuanzsha rship nyngne na wa huku dom nae kwakua yamekua hayo afungue moyo tuu ajikaze ksabuni tuu
 
Back
Top Bottom