😱
Katika mambo ya ajabu hapa duniani,
Suala la MAPENZI ni miongoni mwa mambo ya ajabu sana yaliyopo!.
Inashangaza sana kuona:
1. Kiongozi Mkubwa kabisa kabisa lakini kwenye mapenzi utashangaa nae anaumizwa kama sie na hana ujanja.
2. Unakuta mwanamke mreeeembo sana lakini anaolewa na pimbi kabisaa na maisha yanaenda.
3. Mke Wa tajiri utashaangaa kusikia kafumaniwa anatafunwa na Dreva bodaboda kwenye kochi tena hapohapo Kwa tajili.
4. Unakuta jamaa na nyota zake lakini Kwa mkewe anafokewa kwelikweli hadi unajiuliza hill lijamaa ndo lile....
5. Unakuta mtu ni tajiri lakini kaowa kimwanamke cha ajabu sana kiasi kwamba hata bure ungepewa wewe usingekubali.
=======
Hivi sanaa ya mapenzi ikoje? 😵😵