Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimejiuliza sana jambo hili; Kwanini watu wanacheat katika mahusiano yao? Je sababu za kucheat ni zipi wadau? Au labda: 1. Wapenzi tulionao sio wale tuliofikiri watatufaa? 2. Au tabia chafu...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba kuuliza hili jambo ni sawa au huyu mdada ana appetite isio na kipimo. Kuna mrembo mmoja kwenye kugegedana kila ukipooza anafyona fyona na kulalamika. Kama mara mbili haya yamenikuta...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Wanawake wengi sana wa Siku hizi kila unapokuwa nae ' Shambani ' mnalima kwa pamoja hupenda kuchukua zile Mbegu ambazo Wanaume zao / Wapenzi wao Sisi huwa tumezishika na kuzipanda katika ' Mashimo...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Umefika hotelin na ukaona kulala peke ako sio poa, ukamuagiza mhudumu akuitie angalau dada poa mmoja anayejiuza... Mhudumu kaenda kukuitia....dada poa kaingia ndani kakakaa kitandani ila ile...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Hii imenitokea kwa ndugu jamaa na marafiki wengi sana, unakuta mtu anatoa harufa mbaya sana ya kinywa ila sasa kumface na kumuelezea moja kwa moja inakua vigumu. Mbaya zaidi pale anapokua ni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani napendwa mimi nnaringa kama mme wangu ananipenda hivi nahisi jf tunaimiliki sisi, Nakupenda we mwanaume unanipenda Sana, Acha niseme Hakuna mwanaume anaenipa faraja na furaha Kama wewe...
4 Reactions
239 Replies
19K Views
Nina miaka 32 mkristo Muajiriwa Elimu Degree Sio mrefu sio mfupi Maji ya kunde. Mwanamke anayehitajika; Miaka chini ya 27 Awe mkristo Elimu, diploma au degree Mweupe Mwili wa kawaida Kama una...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa majina ya humu jamvini ni wolfpack. Dini yangu ni mkristo na naishi Arusha mjini. Natafuta rafiki wa kike(mchumba) mwenye umri kwanzia 22 mpaka 26 mwenye vigezo hivi, 1. Awe mweusi au maji ya...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Habarini wanajamii, Ningependa kujua ni taratibu gani hufuatwa kuanzia kwenye upenzi wa kawaida, kupropose ndoa, utambulisho kwa wazazi na jamaa, mahari (posa) na hatimae ndoa, kipi inabidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kweli mtu hujui hata raha ya kufika kileleni lakini bado tuu unasema na mimi nipo kwenye mahusiano. Waambieni ukweli wanaume zenu sio kudanganya.
16 Reactions
261 Replies
25K Views
Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri? Wakati wewe unafanya kazi, nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana? Nawaombeni...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Wengi huwa wanalalamika kwasababu hawajui matumizi ya nazi. Nazi si ya mboga tu...ina matumizi mengi. Wanasema mchagua Nazi hupata koroma...Lakini wanasahau koroma hilo linakazi nyingi; unaweza...
9 Reactions
46 Replies
13K Views
Hi ilitokea nilipoenda club 2weeks ago na rafiki yangu mmoja mana alikuwa na stress kibao. Wakati tunasubiria disco lianze si unajua sisi wazee wa club legends akanieleza amepata bwana lakini ni...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Sijajua kwa wengine lakini kupitia maisha yangu naweza sema na uhakiki na hili wakina baba pasipo jitambua au kutojua malezi bora wanajikuta wanatengeneza migogoro na watoto pindi pale tu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu mkubwa sana ameolewa kimila na wamejaliwa mtoto mmoja na maisha yanasonga kama kawaida. Tatizo lililofanya mpaka hadi rafiki yangu aombe ushauri na mimi kuja kulileta huku ili...
7 Reactions
105 Replies
12K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye...
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Wengi siku hizi wana simu za kisasa yaani smart phones . Simu hizi zinasaidia sana, unaweza kufanya mambo mengi kwenye simu kama ufanyavyo kwenye computer. Pia Smart phones hukusaidia pia kuingia...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu Wiki ya pili sasa jirani yangu "mwanamke" single mother kapata safari ya gafla kwenda huko Dar es salaama. Tumezoena sana kiasi kwamba hata kiss za hapa na pale huwa napatiwa pia...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Dada naona kapaniki, yuko desperate na ndoa maana anaona km (umri) zimetembea sana. Mm nilitaka kuosha macho tu kwenye bonde lake la ufa kisha nipite zangu. Lkn naona yeye sasa ndiyo anadhani...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Kuna mdada mmoja yuko mitaani kwetu sio siri nilivutiwa nae nikapenda tuyajenge tuwe familia moja, cha ajabu nilishushiwa mvua ya matusi ajabu akidai nimshushia heshima na yeye...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…