Habari za mchana.
Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa.
Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu.
Au kama ni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yapita miaka miwili niko kwenye ndoa na mke wangu lakin bado hatujabahatika kupata mtoto
licha ya mke wangu...
Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye...
Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.
Mimi ni fundi furniture...
Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako...
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila...
NDOA YA KISASI:
NDOA YA KISASI
Sehemu ya 1:
Saa tatu usiku. Usiku mmoja wa kuvutia!
Baada ya kunywa pombe kupita kiasi kwenye karamu yake na marafiki usiku, mchumba wa Emmy alimchukua na...
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote...
Habari za wakati huu JF?
Ndugu zangu Nina kisa cha kusikitisha ambacho ningependa kupata mawazo kutoka kwenu.
Nitajitahidi kuandika Kwa ufupi kadiri iwezekanavyo. Jitahidi tu usome upate cha...
Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko...
Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee!
Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa...
Mimi huwa nawaleteaga visa vya kweli ambavyo nimevipitia ili mjifunze Hasa mambo ya wanawake mkiambiwa wanawake ni wa kuishi nao kwa makini muwe mnaelewa
Baada ya kuhama kwenye Apartment ya...
Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu.
Iko hivi
Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini.
Bint...
Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA...
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.