Sababu zipi hasa hupelekea watu kufanya mapenzi kwenye gari?

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,699
49,493
Nimepatwa na mshtuko baada ya kusimama barabarani mbele ya gari moja la serikali. Mshtuko umekuja baada ya kushangaa hili gari linaunguruma wakati ndani hakuna mtu na kama linatikisika kwa mbali. Ndo kukodoa macho kupitia kioo cha mbele nashangaa kuona jamaa yuko busy anapanda juu na kushuka chini. Mhh nimeshtuka sana aisee maana ni mchana muda wa saa tisa gari limepakiwa tuu chini ya mti.

Nikajiuliza why this? Je wamekosa guest?
Nikapata jibu kuwa wanaofanya huu uchafu ndani ya gari mara nyingi ni wake za watu
Watoto wadogo wa shule
Au jinsia moja
Kwa nini nasema hivi kwa sababu haiingii akilini mchana wote huu watu wawe wamejibana kwenye gari wanachoogopa ni nini??? Wamekosa guest bubu hata??

Nyie baadhi ya wanaume wenye mtindo huu muache hayo magari mnapanda na familia zenu, mnaenda nayo makanisani n.k mnayafanya najisi kwa kufanya ngono humo. Ni bora basi mkafanya na wake zenu kwa bahati mbaya.

Kwa upande wangu sijafurahishwa jamani kila mtu ana maono yake au mitizamo yake. Nilishowaza anaweza akawa hata ni mtoto wa jirani yangu au ndg yangu labda hata anageuzwa humo na libaradhuli.
 
Gest gharama

Gest risk ya kuonekana ni kubwa hasa akiwa na hao ulowataja kujiamini sifuri

Gari anafanya kama anampa lift tu.....the rest ni mule mule

Kifupi garini ni safer
 
Shikamoo nyege

Ngono ya sehemu za kiwizi wizi ni tamu hakuna mfano wake na sasa ukute na wafanyaji wanaiba hata km gest ipo nyuma yao kwa muwasho na mshawasha unaokuwepo aaah bibi ww mbn kawaida tena unapiga na mayowe ya utamu

Wenzio tunaliwa kwny migomba ww unashangaa kwny gari
 
Nahisi ulinyegeka ndomana ukapata hasira hapo chupi yote imelowa!
Nitake radhi mkuu maana nimejisikia kuchefukwa balaa. Sio wote tuna nyege mshindo wengine tunataka mazingira yenye utulivu to the maximum. Kilichonipa hasira ni kufikiria kama akiwa ni mtoto mdg ndo anaefanyiwa hivi tena kwenye makazi ya watu
 
wenda maono yako yakawa niyakweli kua niwake zawatu au dents.

Sema nn ,, wanawake wenyewe mnapenda mno rough sex ,, halafu yaivo inakua nomaa ,mtu anakupa kamoja lkn weeee mambo ni Jehanamu.

Niliwah mbananisha mwanamke mmoja ilikua saa sita mchana ,nkapaki Bodaboda yangu chini ya mti , nikang'oa sight mirror ili wasichingulie km wewe ,, nikaacha lipikipiki linaunguruma , mambo yakaendelea ..Hakuna aliyetuona.
 
Shikamoo nyege

Ngono ya sehemu za kiwizi wizi ni tamu hakuna mfano wake na sasa ukute na wafanyaji wanaiba hata km gest ipo nyuma yao kwa muwasho na mshawasha unaokuwepo aaah bibi ww mbn kawaida tena unapiga na mayowe ya utamu

Wenzio tunaliwa kwny migomba ww unashangaa kwny gari
Makubwa. Ila jibu umeshanipa kumbe wengi wanaofanya mapenzi ya hivyo huwa ni wezi
 
wenda maono yako yakawa niyakweli kua niwake zawatu au dents.

Sema nn ,, wanawake wenyewe mnapenda mno rough sex ,, halafu yaivo inakua nomaa ,mtu anakupa kamoja lkn weeee mambo ni Jehanamu.

Niliwah mbananisha mwanamke mmoja ilikua saa sita mchana ,nkapaki Bodaboda yangu chini ya mti , nikang'oa sight mirror ili wasichingulie km wewe ,, nikaacha lipikipiki linaunguruma , mambo yakaendelea ..Hakuna aliyetuona.
Mhhahhh hahaha hahahha sasa kwenye bodaboda??
 
Back
Top Bottom