Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,207
- 2,845
Habari za muda huu wanawake
wenzangu..
Napenda kuchukua nafasi
hii kuwatakia
Heri na furaha ya siku yetu ya leo duniani.
Ujumbe wangu : Tusikubali kukatishwa
tamaa, tujitume kwenye fursa chanya.
Nawapenda[emoji11][emoji11][emoji11]
NB: Kama kuna mtu ana chochote kile cha kutujenga, kutuelimisha au kutufurahisha hebu tueleze. Karibuni