MTENDWA wa usaliti hupata maumivu makali, wakati huohuo mwanzoni msaliti hukenua kwa kudhani ameshinda. Maisha hayapo hivyo!
Anayesalitiwa humwaga machozi kwa kilio cha mahangaiko ya moyo...
If there’s one thing that I can promise you it’s that without approaching women, you won’t meet them.
There are countless men who walk around with the fear of talking to women they don’t know...
1.The only thing he wants from you is sex after cumming he will be gone he will only sweet talk u again when he needs some sex.
2.He can spend a day with u touring beautiful places but at the end...
Wadau,
Kuna jamaa yangu kakutana na mama mtu mzima huko kunako ofisi. Huyu mama inaelekea hapewi sawasawa ile haki ya 6*6 huko nyumbani muda wote ni kama ana full miwasho huko chini na akikutana...
suala moja ambalo lazima tukubali tunapokuwa kwenye mahusiano ni kuwa tumetoka katika tamaduni mbili tofauti tukaja kukutana kutengeneza utamaduni wetu.kama sikurekebishwa na wazazi wangu wewe...
Habari zenu wana JF.
Natumai lunch imekwenda poa baada ya kula kile kilichopikwa leo mchana mimi nimekula muhogo uliochanganywa na samaki.
Leo nawaletea kisa cha mdogo wake rafiki yangu...
Habari waungwana.
Katika kipindi cha Hamza Kasongo, Dr Hellen Kijo Bisimba atanabahisha kuwa wanaume wa Dar wanakongotwa na wake zao.
Sikiliza mwenyewe
Habari za wakati huu wakuu
Kama mnakumbuka juzi nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusu mpenzi niliyedumu naye kwa miezi 5 na kutokana na tabia zake za kununa hovyo na nyingine kama hizo
Jana...
Tume ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) imesema vijana wa Kike 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa ukimwi kila siku nchini Tanzania.
#mytake # Kila mtanzania achukue hatua kila...
Nimekuwa nikisikia watu wanasema, mwanamke kugawa K yake kabla ya ndoa ni upuuzi, kama mwanamme anakupenda atakuoa.
Hapo hapo wanamme wanatukuzwa kwa kujaribu kabla ya ndoa.
Sasa swali langu...
Kutokana na kukaa muda mrefu bila kuwa na mwanaume, kwa sasa nimejikuta sina hamu ya mwanaume tena yani hata nitongozwe namuona kama kituko tu pia hata hamu ya mapenzi sina najishangaa sikua hivi...
Inasikitisha sana na kuogofya ukiangalia ulaji wa wanaume wa sasa, unamkuta kijana mwenye akili timamu kabisa asubuhi kinywa chake ni soda ya baridi, mayayi ya kichina, tomato, mayoniz n.k.
Huyu...
Habarini wanajamvi
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumeachana takribani miezi mitatu sasa na kila mtu ana mwenza wake.Yeye anaishi Moshi kwa sasa na mimi naishi Dar.Amekuwa akinitafuta mara kwa...
Ni yule ukiyeshibana nae kama chanda na pete, siri yako ni yake na yake ni ya kwako umemsaidia na mmesaidiana, kumbe shost anajiona matawi kukuzidi.
Akikaa na wale wa Masaki anakunanga wewe wa...
Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
Simwongelei mtu ni ujumbe kutoka kwa mdau wa masuala ya wanawake anaitwa
Lu-Patie!
Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao...
Kabla mahusiano yao hayajakolea jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake.
"Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda, Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto...