msaada kwaa hili wadau

ismailboy

Member
Oct 15, 2017
7
0
wakuu habari za usiku huu.., naomba kuuliza ni kweli nnaweza kuset simu yangu ya tochi ya samsum duos kuwa busy kwa kila mtu anaponipigia?
 
inawezekana mkuu
naomba nifahamishe kama ni kweli boss.., maana nna manzi yangu kila ikifika usiku nnapota kumcall simu inakuwa busy and then kesho ananiambia nawekaga busy usiku simu yangu sasa hapo nashindwa kuelewa.
 
Dah pole sana aisee,dalili ya mvua ni mawingu
 
Ukimchunguza kuku hutamla mkuu simu hujiulizi kwanini usiku tyu ndio inakuwa bize

Kwa maana hiyo anaweka hata we mpenzi wake anashindwa kupokea sim yako..

Sanuka hapo kuna double standard jombaaa
 
kwa hiyo hapo inaweza kuwa changa la macho mkuu au
 
naomba nifahamishe kama ni kweli boss.., maana nna manzi yangu kila ikifika usiku nnapota kumcall simu inakuwa busy and then kesho ananiambia nawekaga busy usiku simu yangu sasa hapo nashindwa kuelewa.
Mzee wanakumegea dem wako huyo
 
naomba nifahamishe kama ni kweli boss.., maana nna manzi yangu kila ikifika usiku nnapota kumcall simu inakuwa busy and then kesho ananiambia nawekaga busy usiku simu yangu sasa hapo nashindwa kuelewa.
Ujue kuna wengine anawaweka busy mchana
 
Back
Top Bottom