A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Naitaji msaada wenu kwa anaefahamu namana ya kupata marafiki wapya kutoka sehemu mbalimbal za ulimwenguni kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo
Hawajanipa tena sijui wameuondaUle uzi wa mwanzo hawajakupa msaada???? Stahmili watakuja kukupa
Jaribu hata kugugo pia
Kuhonga tena ndg yanguJF (MMU) hapa wanapatikana wengi, lazima uwe na pesa ya kuhonga.
Utapata tu vumiliaHawajanipa tena sijui wameuonda
Upo vizuri..Machangudoa wa sinza mori....tafuta huo uzi
Upo vizuri..
Machangudoa wa sinza mori....tafuta huo uzi
Upo vizuri..
tehteehh......[emoji12] [emoji12]Kwenye nn?
Msaidie mwenzio wewe.Kwenye nn?
Naitaji msaada wenu kwa anaefahamu namana ya kupata marafiki wapya kutoka sehemu mbalimbal za ulimwenguni kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo
Msaidie mwenzio wewe.
Dating sites. Kama zile za kwenye simu yakoNimsaidie nn sasa?
Dating sites. Kama zile za kwenye simu yako
Shukrani kakaBadoo
Badoo huo mtandao unanuka ngono tuMtandao wa Badoo ndiyo mwarubaini wa tatizo lako![emoji53][emoji53][emoji53]
Sina haja na malaya ndg kama wewe umezoea hayo mambo samahaniMachangudoa wa sinza mori....tafuta huo uzi