Wanaume wa Dar 3% wanapigwa na wake zao

Wanaume wa Dar 3% wanapigwa na wake zao

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,132
Reaction score
1,668
Habari waungwana.
Katika kipindi cha Hamza Kasongo, Dr Hellen Kijo Bisimba atanabahisha kuwa wanaume wa Dar wanakongotwa na wake zao.
Sikiliza mwenyewe
 

Attachments

ACHA WAPIGWE TUU MAANA WAMESAHAU MAJUKUMU YAO. HIVI WANAUME NANI ALIWALOGA? KWELI KWELI KHAAA KUA UYAONE MWANANGU
 
ACHA WAPIGWE TUU MAANA WAMESAHAU MAJUKUMU YAO. HIVI WANAUME NANI ALIWALOGA? KWELI KWELI KHAAA KUA UYAONE MWANANGU

hakuna ulozi wala ndumba. kutozingatia ulaji mzuri tu na kuwa na tabia za kike. sasa mwanaume kutwa nzima yuko saloon anafanya sijui facial cure, sijui massage - mnisamehe tu kama haziitwi hivyo
hapo unategemea atakuwa anaweza nini?
 
Pamoja na kula Karanga mbichi,Madafu,Supu ya pweza,Korosho,Matikiti na Maparachichi kwa wingi lakini bado tu wanapigwa..!!
 
hakuna ulozi wala ndumba. kutozingatia ulaji mzuri tu na kuwa na tabia za kike. sasa mwanaume kutwa nzima yuko saloon anafanya sijui facial cure, sijui massage - mnisamehe tu kama haziitwi hivyobuhi n
hapo unategemea atakuwa anaweza nini?
Achilia mbali kitandani hata kimajukumu.......... sio ajabu mwanaume kuamka asubuhi na kumwomba mwanamke nauli ya kwenda kazini huku sasa hapo atajua hata watoto watakula nini Mungu tuangalie kwa hili kwa kweli
 
Pamoja na kula Karanga mbichi,Madafu,Supu ya pweza,Korosho,Matikiti na Maparachichi kwa wingi lakini bado tu wanapigwa..!!

mkuu tatizo ni kwamba wanakula hizo vitu kwa kuonja. Sasa unakuta yule mama/dada muuza muhogo anakata vipandevipande, muhogo mmoja watu 20, impact itakuwepo wapi? vivyohivyo kwa matunda na starch food nyingine.
jambo jingine ni physique yao. jamaa wako mlenda sana
 
Kila anayefanya research sample anachukua ya wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom