Wanaume: Tuangalie sana ulaji wetu wa chakula

Wanaume: Tuangalie sana ulaji wetu wa chakula

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Inasikitisha sana na kuogofya ukiangalia ulaji wa wanaume wa sasa, unamkuta kijana mwenye akili timamu kabisa asubuhi kinywa chake ni soda ya baridi, mayayi ya kichina, tomato, mayoniz n.k.

Huyu huyu hata mazoezi hafanyi hivi mtu kama huyu anakosaje kulalamika kwamba amepungukiwa nguvu za kiume? Jamani tuangalie na vyakula vya kula marakwamara siyo tu kwakua chakula ni kitamu ndo ukifakamie.

Tujitahidi hata kula dona, kande n.k hivi si vyakula vya kubeza.
 
Ulaji unategemea na shughuli aifanyayo mtu. Sijui unaelewa hilo ?

Labda ungeweka msstizo kwenye kufanya mazoez inge make sense.
 
wewe Jamaa hata hujui umuhimu wa mayai katika mwili wa binaadamu ..kwavtaarufa yko binaadamu anapaswa kuwa anakula yai moja daily ...binaadamu hapaswi kabisa kuwa na ulaji wa vyakula vya FAT Mara kwa Mara wingi wa fat husababisha kitambi .na upungufu wa IQ kwa mlaji ..anza kuwa unafuatilia lishe kamili ambayo anapaswa kuwa anakula binaadamu kila siku ...moja ya lishe stahiki "" NI maji kwa wingi ..Chakula cha Jamii ya kunde ..samaki .kuku .ama Nyama nyekundu ..dagaa ..mboga mboga '' mayai kidogo"matunda na vyakula vyenye Rangi za njano kama maboga "viazi mviringo na carot kwa wingi
sasa wewe endelea kuwalisha wenzio matango pori ""
 
Inasikitisha sana na kuogofya ukiangalia ulaji wa wanaume wa sasa, unamkuta kijana mwenye akili timam kabisa asubuhi kiasha kinywa chake ni soda ya barid, mayayi ya kichina, tomato, mayoniz n.k. Huyu huyu hata maziezi hafanyi hivi mtu kama huyu anakosaje kulalamika kwamba amepungukiwa Nguvu za kiume? jamani tuangalie na vyakula vya kula marakwamara cyo tu kwakua chakula ni kitam ndo ukifakamie. Tujitahid hata kula Dona , Kande n.k hivi c vyakula vya kubeza.

[HASHTAG]#Povu[/HASHTAG] linaluhusiwa kwa wapenda viepe#.
Baadhi watakuelewa
 
wewe Jamaa hata hujui umuhimu wa mayai katika mwili wa binaadamu ..kwavtaarufa yko binaadamu anapaswa kuwa anakula yai moja daily ...binaadamu hapaswi kabisa kuwa na ulaji wa vyakula vya FAT Mara kwa Mara wingi wa fat husababisha kitambi .na upungufu wa IQ kwa mlaji ..anza kuwa unafuatilia lishe kamili ambayo anapaswa kuwa anakula binaadamu kila siku ...moja ya lishe stahiki "" NI maji kwa wingi ..Chakula cha Jamii ya kunde ..samaki .kuku .ama Nyama nyekundu ..dagaa ..mboga mboga '' mayai kidogo"matunda na vyakula vyenye Rangi za njano kama maboga "viazi mviringo na carot kwa wingi
sasa wewe endelea kuwalisha wenzio matango pori ""
mkuu cyo haya mayai ya kichina.
 
Nguvu za kiume zinategemea na aina ya papuchi. Ka papuchi iko wazi ka beseni, hata ule viagra dailee ni kazi bure.
 
Kwakweli wanaume mmbadilike ...jaman kuleni vzur kula ovyo kuna sababisha badala ya kutoa sperm mnatoa povu..
 
sio chakula kibovu tu hata ukosefu wa pesa husababisha upungufu wa nguvu hizo!
 
Kula sana sio kuwa na nguvu za kiume, binafsi asubuhi naweza kufingua kinywa kwa silesi mbili, kipande cha tikiti na yai kidogo, lakini usinipimie[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa kama hana hela je...?? Acha kuropoka wewe basi mnunulie wewe chakula....

Cumamaye....
 
Back
Top Bottom