Ni busara tu ndio itaamua jambo hili

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
*HAPA BUSARA INAHITAJIKA*
Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau nguo yake ya ndani kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.

Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, Anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika chu* ***

*Je wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?*

Niko Huku kibirizi kwa navuna dagaaa. Mkipata chakujitetea wadada mje mjitetee .na wanaume wenzangu nanyi maamuzi gani mtachukua.
 
Usisahau kufika hadi Kalalangabo mkuu.

Vv
 
Ingekuwa mimi imenitokea, kwanza ningemuuliza:

Kulikoni unatoka humu?
Nasikiliza maelezo yake.

Je kwetu hakuna ndoo ya kuogea? Anatoa maelezo na sababu kama yatanilidhisha basi yupo huru.
 
*HAPA BUSARA INAHITAJIKA*
Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau nguo yake ya ndani kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.

Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, Anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika chu* ***

*Je wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?*

Niko Huku kibirizi kwa navuna dagaaa. Mkipata chakujitetea wadada mje mjitetee .na wanaume wenzangu nanyi maamuzi gani mtachukua.
sawa, nami nakuja kusoloza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom