Could you marry the last person you slept with..??

Could you marry the last person you slept with..??

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,900
Kwa Mimi hapana..Girl hakua mtundu,sikua na feeling nae..niliona kama nimepoteza muda and my money...what about you Guys..
 
Hapana kwa hakika, kwanza kanipa mchezo kishingo upande, anapiga sana mizinga afu kwenye 6 hana maajabu wala nn
 
Unajua huwi mzuri kwenye kazi mpaka uwe na experience, unataka mwenye experience ?
lol...mtu anamiaka 27s then hajui mambo kwakigezo cha kutokuwa na experience !!!?"" huyo atakuwa nimvivu tu,, mkuu""
lakini ameshamaliza kuzihesabu namba zote mpka ameamua kuanza kuzihesabu upya
 
Kama anayo huduma ya tigo rusha namuoa fasta.
[emoji4]
 
lol...mtu anamiaka 27s then hajui mambo kwakigezo cha kutokuwa na experience !!!?"" huyo atakuwa nimvivu tu,, mkuu""
lakini ameshamaliza kuzihesabu namba zote mpka ameamua kuanza kuzihesabu upya
Kila kitu kipaji mzee
 
Back
Top Bottom