Habari zenu wakuu.
Mimi ni kijana kama mnavyoona avatar yangu na wahenga walisema ujana ni maji ya moto.
Kipindi nikiwa Kigamboni nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae anatokea Iringa...
Habari,
Mimi ni mwanaume wa miaka 25, elimu nina shahada ya biashara, kazi mwajiriwa, nina nyumba nimejenga, kazi ya uhakika, nitamtunza, kumjali na kumpa mahitaji ya msingi kama mke, ninatafuta...
Halafu Ajali zikizidi mnalalamika kumbe ' nuksi ' mmeianza wenyewe. Jamani hivi sasa kumeibuka Wimbi la Watu kupenda kufanya mapenzi / kungonoka hovyo ndani ya Magari yao. Na maeneo makubwa ni...
Very very sorry kwa hili tatizo LA kiumeni - KUJAMBISHWA.
Kuna wanaume wanaishi kwenye mateso makubwa na sidhani kama hii kitu ina tiba.. Yaani ni kama vile mate yanavyokujaa mdomoni mtu akila...
Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata.
Kuhusu mimi
Mkirsto miaka 27
Elimu Bachelor Degree
Nimeajiliwa na...
Kwa ufupi sana ni kwamba mke mtarajiwa na ambaye yuko very serious kwa ajili ya kuanzisha uhusiano na baadaye kuoana, ninamuhitaji sana tena sana.
Kwa upande wa sifa anazotakiwa kuwa nazo ni...
Yani jamani Leo nimeona kitu cha kunishtua kidogo! Mtu na shemeji yake mke wa kaka yake wanasalimiana kwa kukumbatiana.
Ajabu iliyoje, tena mbele ya mumewe, hivi huyu mwanamke ana akili kweli? Ku...
Ku cheat sio lazma umvulie nguo kabisa mwanaume au mwanamke mwingine ama uende na lodge kusex nae hapana.
Cheating huanza pale ambapo tu utatoa/kuomba namba ya simu kwa mtu kisha kuanza mazoea ya...
wanaume wanaoongoza kula papuchi bila shida ni mameneja wa Bar. Kuna dada mmmoja niko nae karibu anafanya kazi bar anasema kabla ya kuajiriwa meneja anakuonja kwanza halafu ndo kazi inaanza...
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.
Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha...
Habari za jioni wana JF.
Niende moja kwa moja kwenye habari apo juu,nakumbuka mwezi wa saba 2017 nilipata nafasi ya kwenda CHUO CHA VETA Babati ,Manyara. Hapo chuoni niliazisha mahusiano na...
Mtu umempenda lakini unashindwa kumwambia
why?
Ni inferiority complexity au huwa ni nini??
Cha ajabu wanaume nao siku hizi wamekuwa kama watoto wa kike, akishampenda binti badala ya kufunguka ya...
Nina miaka 7 katika ndoa niliyofunga na mwanaume niliye naye na tumejaaliwa kupata watoto 2 na umri wangu ni miaka 37 sasa.
Lakini kuna ndoto imekuwa ikinijia kwa miaka 3 mfululizo , ya kwamba...
Kuna kampeni nyingi kupinga tohara kwa wanamwake. Vita ni kali na maelezo mengi. Mojawapo ni kwamba eti hawajisikii raha ktk ngono.
Naomba mujitokeze na kujieleza. Kweli raha hampati? MMoja...
Wanaume walitokea sayari ya Mars na sisi tulitoka Venus. Wote tumejikuta hapa duniani tena tumeambiwa hapa tutaishi kwa muda lakini inabidi wote tuishi kwa amani.
Wanaume wana Ego, hiki ni kitu...
Mhadhiri Mwandamizi katika chuo kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dkt Peter Wangwe, amesema upo uwezekano wa mwanamke kupata mimba ya watoto mapacha kutoka kwa baba wawili tofauti...
Nina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafuta partiners(boyfriends)
1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+?
2 . Mnapata hao boyfriends kweli?
Sent using...
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo.
Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata...