Matokeo ya valentine ya mesha anza kutoka.....*

Matokeo ya valentine ya mesha anza kutoka.....*

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,854
Reaction score
4,693
Eeee mungu wangu
Nime Kwisha Mimi jaman..
Ntaiweka wapi sura yangu
Katu siku dhania kua yatatokea haya Leo....
Me nilimpa penzi kwakua ilikua n siku ya furaha na pia kampani ya kunipoteze mawazo

Alafu kingine zaid kwakua alikua mgeni hapa mtaani kwetu nika amua kufanya kweli kwaku
Wakomesha macho kodo.
Sas Leo ananiletea majibu eti kwamba siku ile alipata mimba.
Lakini ugonjwa wa kaswende alitoka na huko aliko toka.
Siku ya valentine aliniomba kutoka na tulitoka but sikujua kabisa haya yange tokea
Jaman moyo wangu Una umaa kiasi cha kufa.
Sikua na ratiba za kuitwa baba kwa sasa kwakua nime bakiza miez michache ya mim kwenda chuo....
Halafu mbaya zaid n hu ugonjwa ambao sijui Kama na mim ntakua nime salimika....
Nisaidie rafki yangu maana hatasijui nianzie wapi.

Hayo ndio yalikua n maneno ya rafiki yangu baada ya kutoka kwa mpenzi wake lattifa alie muita kwa ajili ya mazungumzo.
Kama ni wew ungeshaur vipi????
 
ulivyoanza kathread kako nilijua mtaa wa pili.. kumbe men? haya kakomae na tuition shule c mmefunga
 
Back
Top Bottom