Ni kweli mimba yangu au ndo napewa mtoto wa nyongeza?

bablon6

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
629
565
Ni mpenzi wangu niliyekua naye tangu mwaka jana mwezi wa 12 ila baada ya kuchokana akaniacha huku nikiwa bado nampenda baada ya kuumia na kupona nikaamua kumove on. Yeye alidai namtesa kwasababu napenda sana kuchat na wanawake.

Akaamua kurudi kwa bwana wake wa zamani ambae alikua naye kitambo nakuwaambia dada zake hataki kusikia habari zangu.

Leo namba ngeni imeingia akisema "mkeo ana mimba jiandae kulea bila kutegemea".

Nimelala naye mwaka jana mwezi wa 12.

Nikaachana naye mwezi wa kwanza mwaka huu.

Leo anakuja kunambia ana mimba yangu.

Ni kweli yangu au ndo napewa mtoto wa nyongeza?

KONFUSE
 
[Nimpenzi wang nliekua nae tang mwaka jana mwezi ila baada ya kuchokana akaniacha uku nikiwa bado nampenda baada ya kuumia na kupona nkaamua kumove on
Yeye alidai na mtesa kwa sababu napenda sana kuchat na wanawake
Akaamua kurudi kwa bwana wake wa zaman ambae alikua nae kitambo nakuwaambia dada zake hataki kusikia habari zangu
Leo namba ngeni imeingia akisema "mkeo ana mimba jiandae kulea bila kutegemea"

Nimelala nae mwaka jana mwezi wa 12
Nika achana nae mwezi wa 1 mwaka huu
Leo anakuja kunambia Ana mimba yangu.

Ni kweli yangu au ndo napewa mtoto wa nyongeza

KONFUSE
kama ulipiga kavu Lea mimba hiyo
 
Mkuu muulize mimba ina miezi mingapi?
 
Sawa ila hii habari yako inatuchanganya kidogo ulipo sema alirudi kwa bwanake sasa unategemea mimba yako kweli au unajaribu kumwona aliko enda hana uwezo wa kutungisha mimba
Hapa ndo kumenifanya nsite kufanya maamuzi ila yey anasema yang
 
kulala ulale wewe tena peku

afu uhisi mwingine why? fata taratibu za uchunguzi.
 
Back
Top Bottom