Bwana mdogo namfaham kitambo sana huwa tunamwita "mti mkavu" maana mti mkavu hauchimbwi dawa. Huyu mshkaj harakati zake asilimia 80 ni kufukuzia mademu. Akikosa mademu basi kipindi hicho chote...
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu.
Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume,
Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la...
Ndugu habari zenu,
Jamaa yangu wa karibu amepatwa na mkasa huu; nyumbani kwake anaishi yeye, mke, watoto na ndugu wa mke wake jinsia ya kike.
Siku moja alienda safari, kabla ya kurudi alitaka...
Ebwana eeeh!!!nilipanda flait moja ivi ya sauz,Daahh! jamani mle ndani wa hudumu wa ile ndege wamepitiliza kwa uzuri.nilimpenda mdada mmoja ambae ni mhudum sasa ikabidi nijiresi nikajifanya pumu...
Hivi wasichana inakuwaje mfano boyfriend wako hapo nyuma ulimuwacha tena kwa kilio ukisema sitaki kila akilazimisha unasema utaki naye akasema poa baaada ya mwaka mmoja Huyo huyo boyfriend wako...
Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku. Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa...
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
Habarin za kutwa wakubwa na wadogo zangu. Tukiwa tunaelekea kwenye mapumziko mafup ya sikukuu ya pasaka, napenda kuwashilikisha neno fupi tu kama ifuatavyo.
Watu wengi sana wanahangaika...
Habari zenu
Leo nimependa kuwashirikisha ushuhuda mwingine wa maisha yangu ile watu wajifunze na kuacha kutapeliwa na kujikuta wakitumia madwa kumbe hawana maradhi yoyote miilini mwao
Story...
Malkia wa chumbani nimerudi tena,
Jaman naombaa kuuliza kuna umuhimu gani wa kuvaaa condom baada ya kunyonyana sehemu zote za mwili kwa kutumiaaa midomo alafu baada ya hapo ndo uvae kingaa???
Ni...
Nawauliza wadada huwa mnakuwa na ujasiri gani kwa sababu nyie wenzetu mmeumbwa na Aibu! Ila katika hili sijui mnakuwaje Aisee....Karibuni nimeandaa beseni nataka kufua leo.
NAWAKUMBUSHA tuu Mwaka wa kuzaliwa - Na Umri wenu kwa sasa na mda wako wa kustafu kwa lazima kama wewe ni mtumishi wa UMMA.
.
Age. Retirement
1958. 60------- 2018
1959...
Wadada tuzungumze kikubwa,
Hivi inakuwaje unatoka kwenu au kwako kwa miadi ya kwenda Kusex alafu ukishafika kwa bwana unaanza kujishaua shauaa wakati siku kablaa ya tukio mlikuwa mnachat namna...
Habarini wapendwa, juzi nilileta uzi hapa nikisumbuliwa na upweke kwakweli nilipata ushauri na wengine wakiomba urafiki waniliwaze na wengine wakihitaji mahusiano
Lengo la Uzi huu ni mapenzi mpya...
Kama title inavyojieleza
Nimekua nikijiuliza why miaka/siku za hivi karibuni kuna wimbi kubwa la vijana wa kike na kiume kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Ushoga na Usagaji)
Nimefanya...
Habari wana JF,
Katika siku za karibuni nimejikuta napenda kuangalia wanawake wenye makalio. Kuna siku nikiwa kwenye usafiri wangu nikanogewa kuangalia makalio nikajikuta nadumbukia mtaroni pwaa...
Natoa tu Ombi kwamba naomba sana ' Warembo ' wa Kitanzania wakiongozwa hasa na akina Wema Sepetu, Masogange, Kajala, Gigi Money na wengineo wengi tu waache kupoteza muda katika ' Instagram '...