Kikosi cha Mizinga
Member
- Mar 24, 2018
- 23
- 33
Kuna house girl hapa lazima nioe kwa sababu anajua kupika, kulea watoto na pia ana heshima tofauti kabisa na haya mashakurunpepe ya mjini ambayo hayafai kabisa.
Hivyo nawashauri wanaume wenzangu waoe hawa viumbe maana wana sifa zote za mke.
Hivyo nawashauri wanaume wenzangu waoe hawa viumbe maana wana sifa zote za mke.