Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini ya leo wana JamiiForums wenzangu, Mimi ni kijana, niliekuwa na mtazamo wa kuwa na mtoto mmoja tu na tulikubaliana na mwenzangu tumeweza kumaintain hii hali kwa miaka tisa lakini juzi mke...
1 Reactions
137 Replies
11K Views
Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi. Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni...
15 Reactions
125 Replies
14K Views
Kumekuwa na Cases nyingi sana za watu kulalamika kwamba wanasalitiwa na watu wao katika mahusiano au hata ndoa. Je ni nini suluhisho la usaliti huu katika mahusiano? Kukaa kuyazungumza, kubreak up...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
Habari zenu wana MMU. Nipo kwenye mahusianao na msichana kwa takribani miaka miwili sasa, ninampenda, ananipenda, tunapendana kwa pamoja. Tangu tuanze mahusiano, mawasiliano yetu ni kwa njia ya...
3 Reactions
127 Replies
10K Views
Daaah wadada wa uswahilini mbona mnajiendekeza sana mambo yasiyo na tija ? Mnaigiza Maisha ilihali wengi wenu njaa tupu na mnataka kuishi maisha ghali yasiyoendana na Maisha yenu halisi Wanaume...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 20 ni mvulana na ni mwanafunzi ninaishi na mjomba wangu mwenye zaidi ya miaka 40 kutokana na maisha kubana nyumbani niliamua kwenda kuishi naye huku nikitegemea kwenda shule...
1 Reactions
149 Replies
41K Views
Ndani ya wiki 2 nilijitahidi sana kutokuangalia videos za X na nilijiepusha kukaa mwenzangu kwa muda mrefu, sasa hivi nikikutana na mpenzi wangu ninachukua dakika 50 ndio ninapizi kabla ya hapo...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Doreen Moracha kutoka nchini Kenya ni binti ambaye amejikubali kuwa na virusi vya Ukimwi na kujifunza kuishi navyo, anadai kwa mara ya kwanza aligundua kuwa anaishi na VVU alipokuwa na umri wa...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wana MMU? Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume. Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya...
109 Reactions
1K Replies
122K Views
Nimeanzisha thread hii kwania njema tu ya kupeana maarifa, kubadlishana mawazo lakini kupata majibu ya maswali yetu pia.. ambayo huenda wakati mwingine unakosa wa kumuuliza. Tuulizane maswali...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu Nimebaki tu nacheka baada ya kukutana na hio note..
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Wasalaam wanaJF, Naomba kueleweshwa kidogo pengine mimi ndiye sielewi nina mahusiano na huyu mwanaume lakini tabia yake inanitia mashaka. Mwanaume huyu kupitisha siku 2/3 bila kukujulia hali kwa...
5 Reactions
120 Replies
14K Views
nawasalimia wakuuu ... Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na vilivyomo vyote ..ameumba binadam na majini ili wamuabudu .... kati ya hao wanao mkosea Mwenyezib Mungu Binadam na...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wazee wenzangu tupigeni kula kati ya vibonge na wembamba madem gani ni watam zaidi kwenye bed!!!
0 Reactions
81 Replies
17K Views
Ilikuwa ni safari ndefu kidogo, tulikuwa tukitoka Dar kwenda Tunduru, pembeni yangu alikaa binti flani hivi, hakuwa mzuri kiviile yani wa kati tu ila anafaa kwa matumizi. Huwa sina utaratibu wa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tujadili hili swala la wanawake kila wanapoitwa na wanaume zao huwa wanadai watumiwe nauli ila wakisikia upo na mchepuko hata uwe kigoma atapanda hata Fastjet faster tena kwa nauli yake kuja...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Naomba niulize wana JF, Hivi kwanini hawa dada zetu mnapokuwa na mahusuano pindi unapoomba uroda matarajio yake ni kupewa pesa wakati utamu na yeye anapata? Kwanini uwe hivyo.
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kitu nilichogundua ni kwamba kwa mwanaume wa Kitanzania kukaa bila mchepuko au nyumba ndogo haiwezekani nyumba kubwa ukiwahi kufika nyumbani kero ukichelewa Kero ukiomba mchezo nimechoka au tumbo...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuna fadhila nyingi sana katika ulimwengu huu lakini hakuna fadhila iliyo kuu kama fadhila ya unyenyenyekevu. Unyenyekevu sio udhaifu bali unyenyekevu ni hali ya moyo na akili inayomfanya mtu...
7 Reactions
46 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…