Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,765
Kumekuwa na Cases nyingi sana za watu kulalamika kwamba wanasalitiwa na watu wao katika mahusiano au hata ndoa. Je ni nini suluhisho la usaliti huu katika mahusiano? Kukaa kuyazungumza, kubreak up n.k. lipi linafaa? Karibuni
 
dawa ya usaliti ni pesa haijalishi huo usaliti umekuja kwa njia gani
 
Kuacha dhambi na kuishi kwa kumpendeza Mungu...

Hii ni kwa upande wako wewe, imagine ww umeamua kuishi maisha hayo lakini mtu wako anakusaliti. Hili linakaaje?

Suruhisho ni kuwa na hofu ya MUNGU tu basi na kufuata matakwa ayapendayo mwenyezi MUNGU, Vinginevyo tutakuwa tunapiga kelele za bure tu na hakutokuwa na suruhisho.
 
Kama mafiga matatu ya kupikia eh!? Mtaka yote kwa pupa........

Diversification;
usipende 100% zote kwa mtu mmoja utaumia
hiz asilimia zigawe walau kwa watu wa3 minimum#Naongea na wanaume wenzangu
 
Hii ni kwa upande wako wewe, imagine ww umeamua kuishi maisha hayo lakini mtu wako anakusaliti. Hili linakaaje?
Ukiamua kumshika Mungu maana yake sasa huyu mwenzio unamuingiza kwenye maombi ili aachane na hiyo tabia mbaya,it works,try it and see...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom