duh iyi kweli noma hatari sana kina mama

duh iyi kweli noma hatari sana kina mama

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,809
IMG-20171231-WA0035.jpg
 
Hiii yaweza kua kweli kabisa.

Ukitaka kuthibitisha , kuna day niliandika Uzi kwa kuhoji ..je wanaume tuendelee kuamin (mtoto amechukua sura yako ) au tupime DNA ??.

Aiseee ,wanawake walinishambulia balaa.
Achen ku include sio wote wanabambikiza af siku hiz wanawake huwa hawabambikiz weng hakikataliwa anapambana mwenyew analea mwana,hkuna kuzungusha mtoto ka pia mengne ataamua mtoto mwnyewe akikua
 
Achen ku include sio wote wanabambikiza af siku hiz wanawake huwa hawabambikiz weng hakikataliwa anapambana mwenyew analea mwana,hkuna kuzungusha mtoto ka pia mengne ataamua mtoto mwnyewe akikua
Yaaah nikweli sio wote bana!!! Alafu kwann umbambikie mtu mtoto wakat unajua sio damu yake ???.
 
ni kitu ambacho hakiwezekan..hata kama mwenye mimba ameikataa Bora kukomaa nayo tu kumbambikia mtu sio solution
Nikweli ila umenielewa vibaya...hapa tunazungumzia ..wale watu wanaoishi km mume namke nawanawatoto.

Ndo tunasema baadhi ya akina mama wamewabambikizia waume wao watoto ..umenielewa Illuminata?.

Sipingan naww kwamba ,mwanmme akikataa mimba ushindwe kumlea ..ilo nitatizo lamwanamme.
 
leeni watoto nyie ,mbona nyie mlilelewa?
Mie watoto wangu ninavyofanana nao nilijiiba nikaenda nao Kwa mkemia,nikafukuzwa.eti matumizi mabaya ya pesa, kwani wamenisaidia kutafuta. Mi nilikuwa nataka kukonfimu tu.
 
Siku utakaposikia mtoto anatukanwa " LIONE SURA MBAYA KAMA BABA YAKO" Na wakati hufanani naye hapo ndio utajua, maana ya kitendawili ni tega.
 
Mpaka mkemia mkuu aseme? Kwani mtoto kama sio wako hujui jamani? Wanaume wengine wajinga wanabambikiziwa watoto wanaogopa kusema kisa walishawambia wazazi wana watoto huu ni ujinga, eti mwanangu! Mfyuuuuu!
 
Back
Top Bottom