Wadada: Kila mnapoitwa huwa mnadai mtumiwe nauli ila mkisikia fumanizi nauli ya kufumania huwa mnaipata wapi?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,170
Tujadili hili swala la wanawake kila wanapoitwa na wanaume zao huwa wanadai watumiwe nauli ila wakisikia upo na mchepuko hata uwe kigoma atapanda hata Fastjet faster tena kwa nauli yake kuja kufumania.

Hii tabia ni ya kukemewa na wanaume wote tunaoumizwa na hili.
 
Pole

Nipo njian naenda kumfumania mtu nayemdai elfu 20 yangu nasikia yuko bar anagonga bia halafu kaagiza kreti nzima.
 
Aaah wapi ....kwa usawa huuhuu au ...
Papuchi sio mahitaj ya msing kwa mwanadamu...n ziada
E is a bect answer ever even though still on dought coz our debt partially is approach to USD TILLION 60 in case of 2017_2018 budget whowever time will judge our nation answer
 
Mm namwambia aje na nauli yake, mm nampa ya kumrudisha...this is my principle...akishindwa hii akae na papuchi yake
YAP hii principo ni veri yuzifuli naodeizi cozi niliwai kutapeliwa miaka ya nyuma nilituma nauli dem akaanza oooo mi leo sijui kalikwenda kalirudi kalisafiri nkaibiwa mchana kweuupeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom