Anataka nauli na hela ya kusukia

Anataka nauli na hela ya kusukia

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Daaah wadada wa uswahilini mbona mnajiendekeza sana mambo yasiyo na tija ?

Mnaigiza Maisha ilihali wengi wenu njaa tupu na mnataka kuishi maisha ghali yasiyoendana na Maisha yenu halisi

Wanaume tunajielewa so masuala mengine mnapotuambia tunawaona kama washamba,maskini wadangaji

Mshikaji wako anataka umtembelee na yupo tayari kukutumia nauli sasa unapoingizia na hela ya kusukia eti huwezi kusafiri ukiwa mchafu una maana gani?

Inabidi ujiongeze vaa wigi nenda mwenyewe anajua majukumu yake na si kuanza kumpangia eti hela ya kusukia sijui nini kwani inagegedwa K au hizo nywele

Sometimes wanaume hatupendi kupewa bajeti kwa vitu visivyo na mantiki.

Badilikeni
 
Hutoi hela utaishia kula Papuchi za mahaus girl
 
Mkuu kama alihitaji kusuka angekwambia mapema siyo una mwambia aje ndo anakwambia hajasuka. Pasua kichwa huyo
 
Nikionaga nyuzi kama hizi huwa najisemea wale wanawake Omba omba wanapata shida sana aiseee.

Tubadilike wanawake sababu tunakoelekea hata ambaye yuko ndoani anaweza muomba mume wake pesa ya kufanyia jambo na bado mume akalalamika.

Tuamke wanawake.
 
Usimpe hela mwambie tokaaaaaaa asikupelekeshe kibelenge huyo. [emoji23] [emoji14] [emoji119]
 
Daaah wadada wa uswahilini mbona mnajiendekeza sana mambo yasiyo na tija ?

Mnaigiza Maisha ilihali wengi wenu njaa tupu na mnataka kuishi maisha ghali yasiyoendana na Maisha yenu halisi

Wanaume tunajielewa so masuala mengine mnapotuambia tunawaona kama washamba,maskini wadangaji

Mshikaji wako anataka umtembelee na yupo tayari kukutumia nauli sasa unapoingizia na hela ya kusukia eti huwezi kusafiri ukiwa mchafu una maana gani?

Inabidi ujiongeze vaa wigi nenda mwenyewe anajua majukumu yake na si kuanza kumpangia eti hela ya kusukia sijui nini kwani inagegedwa K au hizo nywele

Sometimes wanaume hatupendi kupewa bajeti kwa vitu visivyo na mantiki.

Badilikeni
Mkuu ukiona masharti hivyo shituka utapigwa pesa ya nauli na hiyo ya kusuka na hatotokea kabisa. Mpotezee huyo pasua kichwa
 
Mwambie asuke kwanza kwa mkopo akishafika kwako utampa hela
 
Hiki kitabia cha kua omba omba kinanikera. Hebu wanawake tufanye kazi na heshima inakuepo.
 
Back
Top Bottom