Hey habari za muda,
Poleni kwa wanaofumania na wanaofumaniwa pia,
Naomba kupata ushauri hapa kwa wale ambao wameoa na kuoelewa ndoa inapokuwa mpya ya miez 2-12 nini hasa cha kufanya ili baadae...
Leo nimepata kumbukumbu hii nikabaki kucheka
Nakumbuka niko kidato cha tatu enzi hizo boarding school, shule imepamba moto tunakaribia mitihani ya muhula then kichwa changu kikiwa kama...
Sijui ni tabia ya wanawake wa kitanza ia au ni wanawake wa kiafrika kwa ujumla.
Wanawake hawataki kutaja umri wao kamili, labda uwe unamjua au umewahi kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Na hata...
Sio mimi bali mshikaji wangu.
Iko hv:
Jamaa yangu alioa. Akazaa naye watoto wawili, lakini amekuwa hatulii kwenye ndoa anahangaika sana na wanaume. Nadhani ni kwa sababu alimuoa akiwa mdogo sana...
Habarini humu ndani,
Kwa utafiti mdogo nilioufanya moja ya mambo yanayochangia wanaume wengi kuchepuka ni suala la wanawake wengi waliondani ya ndoa kutotoa unyumba inavyostahili.
Unakuta...
Aina za ndoa…
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA...
Hello guys
Ni thread ambazo zilinichekesha sana,
1) Huyu jamaa sikumbuki username yake, ila ningependa kumuita MZEE WA U-TURN, kwenye thread yake moja....alimkimbia mdada aliekuwa anamfukuzia...
Katika mahusiano wawili wakutanapo hukubaliana kuwa pamoja. Wakati huu wawili hawa huwa hawaambiwi kitu na hata umbea wa mitaani huwa haupenyi kwao kwa maana wameshibana.
Mahusiano yao...
Wanaume wengi tunapenda sana mpira, na watu husema mpira wa kuangalia ndani peke yako hauna raha sasa hapa Tanzania bar nyingi siku hizi zinaonesha mpira muda mwingi tunajivinjari kuangalia huko...
Na hizo photoshoot zenu plus Make up mixer location basi mkishabinua hivyo vimakalio vyenu na kupost picha mbili tatu mnajiona kekii wenyewe.
Sasa tu niwaambie hizo photoshoot zinawapamba bure...
Habari wakuu,
Nilikua ninampenzi wangu, dada mzuri wa kawaida kisura na mwili, lakini yeye alikua ndie mwanamke ambae nipo tayari kufanya lolote sababu ninampenda sana na yeye alikua anaonyesha...
Binafsi naamin sana katika aina hii ya urafik..
Opposite sex always urafik wake unakuwa sio wa kinafiki like me + ke..
Lakini katika harakati zangu kibongo bongo naona kama hatuwez hivi...
Kwanza mniwie radhi, najua hata humu ndani wapo watoto ambao mama zao ni michepuko au walipatikana kimichepuko. Naomba wanielewe sijawalenga wao, japo naelewa uzoefu wao unaweza kusaidia...
ni mwanamama ambaye ameolewa na kuachika mara moja na sasa yupo ndani ya ndoa kwa miaka miwili na ushee,kwa mumewe wa kwanza kulikuwa hakuna hayo matatizo sasa ndio anaona mapenzi ni udhia na...
astaghafilulahi hii dunia ni laanakum kabisa. jana nimekutana na jamaa yangu wa kitambo shebby (shabani) huwa tunamwita shebby mchakataji, mzee wa michakato,mzee wa kukokotoa... maana huyu jamaa...
kwa lugha nyepesi sana.
najua wengi ime wahikuwakuta na wengine bado haija wai kutokea kwao ila nataka kujua iwapo uli chukua hatua gani au kama bao je siku ikakukuta wewe haijalishi mna mda gani...