Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai" Sawaa Mimi bagia...
8 Reactions
16 Replies
885 Views
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi...
10 Reactions
148 Replies
19K Views
KWA WAREMBO: ♥️The more mwanaume anavyozisogelea pesa na mali, the more zipu yake inafunguka. ♥️Asili na chimbuko la ndoa halikuwa na kipengele cha feminism na mwanamke kuwa msemaji mkuu, thus...
-1 Reactions
1 Replies
327 Views
  • Closed
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua...
6 Reactions
141 Replies
55K Views
Wadau habarini, Mimi nilioa mke akafuata ya Dunia starehe nilimtoa kijijini alitoka na vitu ving ikiwemo mimi kupata hasara na kuathirika kisaikolojia kwa muda mrefu. Nilirudi nyuma kimaendeleo...
6 Reactions
11 Replies
980 Views
🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama mwanaume anapata take home ya 1.2M, anatakiwa kutoa shilingi ngapi kwa girlfriend wake kama girlfriend allowance?
4 Reactions
29 Replies
1K Views
KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na...
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole...
6 Reactions
30 Replies
977 Views
🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji...
13 Reactions
11 Replies
903 Views
Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU. Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
Kuweni makini sana aisee wake zenu wanaliwa sana tena sana halafu wanaliwa free bila hata thumni aisee wewe unahangaika Ku provide kuna washikaji wanawakula wanawake zenu sana na tena...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Umewahi kujiuliza kwanini wanawake wengi huondoka ghafla kwenye mahusiano/ndoa zao zenye amani kisha wanakwenda kwenye mahusiano/ndoa zenye mateso, unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili? Umewahi...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
2 Reactions
14 Replies
839 Views
Wanawake wa siku hizi, Hawataki mchezo kabisa. Na atakuuliza kabla ya kukutana nae kimwili siku hiyo kama utamuoa. Ogopa sana kutokana na hamuhamu zetu wengi hapo ili tu kuridhisha mwili huwa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni. Nicheki pm
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Poleni na msiba wa ndugu Ndungai. Sasa iko hivi, Jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake. Nimemtongoza tumefikia hapo ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
NRNE Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi? Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana...
29 Reactions
392 Replies
11K Views
Shikamooni wakubwa wote humu ndani. Siku ya kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu, ambaye ndiye boss wangu. Alinielekeza mengi, hasa kuhusu majina na picha, akanambia kuwa si...
24 Reactions
110 Replies
3K Views
Back
Top Bottom