Sinza cha mtoto! Mnaijua palace hotel ya Kariakoo?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,238
2,000
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua yeyote maana wana tabia ya kuwaganda wageni kama luba.

Pia mara nyingi hutwangana makonde wao kwa wao. Utashangaa kuna hata wasiojua kiswahili kabisa wakitokea congo au burundi . Gharama ni kati ya 5000 hadi 30,000 depending on bargaining power of the buyer.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,535
2,000
Hii si ni bora mngepeleka kwenye mambo yenu ya kikubwa hapa sio bana.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,606
2,000
Wana kelele sana usiku kucha!!!yaani ni kero kwa waakazi wa maeneo kariakoo!!
 
Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,715
2,000
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua yeyote maana wana tabia ya kuwaganda wageni kama luba.

Pia mara nyingi hutwangana makonde wao kwa wao. Utashangaa kuna hata wasiojua kiswahili kabisa wakitokea congo au burundi . Gharama ni kati ya 5000 hadi 30,000 depending on bargaining power of the buyer.

You might be a buyer? How did you know it? Pole sana kaka.
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,331
2,000
Ni wezi
wabwia unga
yaani wahuni
niliwahi kufanya kaz palace khaaaaaa! Kule usiku kama uko nji tofaut si hii,
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,474
2,000
Ndugu yangu Katavi.
Hii biashara inalipa harafu haitaji mtaji wowote ni bidii yako tu ni ngumu kuizuia
Ni kweli 'inalipa', kama mtu analipwa 30k kwa mara moja na anaweza kwenda na wanaume watatu kwa usiku mmoja, ni kipato cha 90k per night. Kwa mwezi, say anafanya 'kazi' siku nne kwa wiki anaweza kukusanya mpaka 1.440m....hii ni zaidi ya take home ya asst lecturer wa public university!
 
mzee wandimu

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
469
250
Mkuu, Dar yote imechafuka mbona!

mkuu tanzania yote!
siyo dar pekeyake!
minimewaona tabora pale 4ways na loyal club!
nimewaona shinyanga hadi kule mwadui,nimewaona arusha,nimewaona mwanza.geita nasehu zingine hadi vijijini wapo!
wapo wakuanzia jero na wengine ni msosi tu! unaenda kuramba mkopo wa sukari mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom