Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
13 Reactions
81 Replies
4K Views
Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani. Leo mida jioni saa 12 nikasema nitembelee pande za lubumbashi hapa Mbezi luis angalau nipunguze uzito maana nina muda sijagusa...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari JF, Mimi ni binti nilikua na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka miwili, ingawa hakua officially ila alijulikana kwetu. Kuna kipindi tulikwazana mwezi mzima baadae tukaelewana. Sasa hivi...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
mwenye masikio na asikie 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na...
5 Reactions
1 Replies
416 Views
Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna...
2 Reactions
12 Replies
678 Views
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, Je huyo mwanamke utaendelea kuwa...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Vijana wa sasa hawajui kabisa sanaa ya kusex.Dosari zao kubwa ni hizi: 1.Hawajui namna ya kumuandaa mwanamke.Mwanamke yafaa kuandaliwa mapema sana yaani toka asubuhi,mchana na jioni kwa tendo...
14 Reactions
88 Replies
4K Views
VICHAFUZI VYA NYOTA. Jana nimefundisha kwa kirefu sana kuhusiana na nyota kwamba, mtu ni nyota na nyota ni mtu. Kwa lugha nyingine nyepesi zaidi, Nyota ni mwili wa kiroho unaofunika mwili wa...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii. Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema. Nina mke ambaye muda wote kisirani. Ananuna nuna muda wote. Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies. Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza...
20 Reactions
131 Replies
5K Views
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu! Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi "Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu. Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani. Kazini kuna...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui. Mmoja alikua chapombe...
22 Reactions
135 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa...
27 Reactions
69 Replies
9K Views
Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu...
30 Reactions
142 Replies
6K Views
Back
Top Bottom