Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Enyi wadau wa kike, Hivi ni kweli mnaweza kumjua mtu size ya maumbile yake (uume) kwa kumuangalia tu kwa nje? Kuna siku nilikuwa nimekaa sehemu nikawa namtania dada mmoja anipe mdogo wake...
1 Reactions
63 Replies
18K Views
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa...
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Wanaume wengi siku hizi wamekuwa na tabia za kutaka kuishi maisha fulani hivi ya kitajiri wakati uwezo wa kufanya kazi hawana,wameamua kukimbilia kwa waganga kwenda kuzima nyota za wenzao,yaani...
13 Reactions
147 Replies
9K Views
Kuna Mzee mmoja nakumbuka alijitoa sana kunisapoti wakati nasoma Chuoni mpaka nkamaliza vizuri..wakati namaliza chuo narudi mtaani na yeye alikuwa na binti yake ndio kwanza alikuwa amemaliza form...
7 Reactions
98 Replies
9K Views
So I'm driving home (Yes this early) and I think; Nina familia (mke na watoto). Siwezi kusema ni mkongwe kwenye ndoa, hapana ila nimekaakaa. I love my family. Nina mke mpambanaji, and yes she is...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi wote tulikua wanachuo ila vyuo tofauti, sasa kutokana na umbali nikawa nikimjulia hali ananiambia sijisikii kula nikamuuliza kwanini anasema haelewi, akila chakula kinamuumiza. Kumbe bwana...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilikuwa mwezi wa sita 2017, nilikuwa kwenye wakati mgumu sana baada ya kukutana sintofahamu ya mchumba wangu kujihusisha na maswala ya ushirikina, ilikuwa maandiko ya lugha kama ya kiarabu hivi...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Wapendwa marafiki. Nimekaa nimewaza nikaona nitoe dukuduku hili. Unajua kwanini wakaka mahandsome hawaoi? Nawakioa asilimia chache wanadumu asilimia kubwa hawadumu kwenye ndoa. Haya ndio majibu...
3 Reactions
342 Replies
32K Views
Yaliyopo yanaogopesha jamani Yaani mwanaume wanatufanyia kila aina ya unyama.poleni sana wanawake wenzangu mliopoteza maisha. Wanaume mnatuzalisha mnatuacha na watoto mnaanza kututukana masingle...
8 Reactions
111 Replies
7K Views
Kuna kitu kigeni kidogo kimenitokea jana ambacho kimenifanya niwaze sana ambacho sijakizoea kabla. Ni kwamba kuna mtoto mkale sana nilimpata mwezi uliopita. Sasa akawa anazungusha zungusha...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Habari wana jukwaa letu pendwa, tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana. Kama mada juu inavyojieleza Wanaume huwa na sababu nyingi za kuwataka wanawake kimapenzi, lakini kubwa kuliko yote ni tama za...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
1. Usaliti na Visasi 2. Unafiki na Dharau 3. Kipato na Tamaa 4. Simu za Mikononi na Mitandao ya Kijamii 5. Kuabudu na Kuamini Umbea 6. Uwongo uliokithiri 7. Kupotoka Kiimani / Kiroho Tiba yake...
12 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu MMU. Kuna jambo nimeliona humu jamvini baadhi ya wanawake wakilalamika na kutuponda eti mwanaume unakuwaje na ngozi laini au legelege! Sasa nyinyi wanawake mnataka tuwe na ngozi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
SI VIZURI KUDHARAU VITU ANAVYOCHAGUA MKEO, ETI ANACHAGUA VITU VYA HOVYO HOVYO NA VYA KIJINGA!!!; KUMBUKA HATA WEWE NI CHAGUO LAKE!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KILA kabila duniani huwa na utamaduni wao, ingawa wapo ambao hufuata tamaduni zao na wengine huzipuuza. Utamaduni hutofautiana kutoka jamii moja na nyingine. Mfano; wakati India ikizoeleka kuona...
5 Reactions
65 Replies
11K Views
Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mrembo wakulieazana wakati nikijiandaa kuachana na usingle. Sifa; Awe mkoani Morogoro Awe na umri usiozidi miaka 30 Asiwe mke Wa MTU tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Nilihis nina bahat sana kukutana na huyu msichana nilienae.. kwasabab ni mzur sana ni mrembo saana, ana akili ya maendeleo, ni mchangamfu, ni muelewa pia ni very social once u meet her.. she is...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mahari ni zawadi kwa mujibu wa maana mbalimbali japo hutolewa kama lazima kwa uswazi kwetu huku.Duniani kuna kila aina ya maamizi kuhusu mahali. Pengine wanatoa wanaume... Pengine wanawake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…