eh bhana beki tatu kaniambia yu kwenye siku zake nikalazimisha kondomu mchezoni kama kawa baada ya cku tatu nikataka tena nikiwa mchezon kondom ikapasuka kumuuliza cku zako zlikata lini...
Wahenga walisema ukiona vinaelea ujue vimeundwa.
na kungoja basi baharini ni kuchelewa safari we panda tu hata meli, ama kweli yale matusi mliyo nitukana yaligeuka pombe yakanilewesha.
Sasa...
Jana mida ya saa moja usiku naelekea zangu Mikocheni kuna demu nilikua namfuata ni wa geti kali ila demu akazingua kwao watamzingua ko sikufanikwa kufanya lile nililokusudia kulifanya ikabidi...
Habari zenu wakuu,
Bila kupoteza muda niwasilishe mada kama kichwa cha habari kinavyosema,
Mimi nina miaka 23, japo sio lazima sana kuweka umri nimeweka ili msije mkafikiri ni mtoto ni mtu mzima...
Mtoto wa kike ni lazima uwe na staha bwana. Raha ya tendo mwanaume akuvue na sio uanze kuvua mwenyewe
Khaaaa!! Utaonekana kicheche sasa. Sio mwanaume kazima taa tu kuwasha anakuona umeshabakia...
Vijana wawili walikua wamekaa katika fukwe ya bahari wamekwenda kupumzika, wakaangalia kuliani kwao wakamuona mama mtu mzima kakaa chini ya mti kwa kwa muda mrefu.
Baada ya muda yule mama...
Habari wana MMU,
Kwanza kabisa nimpende kumshukuru mungu kwa kunijalia uzima na afya tele, na natumai mnaendelea salama na majukumu ya kila siku
Kiukweli mimi ninasoma bado nina miaka 20
Ninasoma...
Ishi kwa busara/ nasaha kwa kizazi kipya n kitabu kilichoandikwa na askofu wa mbinga(EMMANUEL MAPUNDA) na kuchapwa mwaka 2006 Julai 24
Kitabu hiki kinaelezea maswala ya mahusiano/ndoa,na mambo...
hebu sikilizeni hii japo ngumu kumeza, wapinzani inabidi mjitafakari sana. mnahangaika na msomi mwenye IQ kubwa sana mara milioni kuliko nyie. Magufuli ana akili kuwazidi mbali sana. kamwe...
Kuna matatizo mengi yanayohusiana na tendo la kujamiiana, ambayo yanawakabili wanawake. Matatizo haya ni yale ambayo yanamzuia mwanamke kushiriki kwenye tendo la kujamiiana na kupata ridhiko au...
Sizunguki zunguki
Nataka mke wa kuoa ili nyumbani kwetu tu talk openly, we have to dare to talk (jf slogan)
Sifa
Sifa zangu
A. Kipato cha kati 1000 USD to 2000 USD per month
B. Umri wangu 30...
Habari wanajamvi,
Kuna rafiki yangu anafanya kazi Iringa na mumewe anafanya kazi Dar. Wana mtoto mmoja.
Toka walipooana (miaka mitatu iliyopita) hawajawahi kuishi pamoja maana mdada alipata...
Wasalaam..
Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchepuko wako/ au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia...
Kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1970 hadi 1985 wamejifunza kufanya Ngono kupitia kwa Mabeki Tatu au Wadada wa Kazi?
Haya wale Wanaume mlioanzia ' Kupasha ' kwa Mahausigeli wa...
Wakuu,
Katika vitu ambavyo naona wanandoa au wapenzi wanapitia ni ile kufanya kazi eneo moja.
Kuna mdada mmoja na mumewe wao walianzia mapenzi yao ofisini.
Mwisho wa siku wakafunga ndoa na...
Kwa kweli tunajua kwamba kuna muda mnachoka sana na shughuri za Nyumbani na kupelekea kupoteza ata hamu ile ya kufanya tendo la ndoa.
Kwa niaba ya wanaume wenzangu naomba tu niwaambie katika siku...
NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida sitatoka nje ya mapenzi. Nitazungumzia mapenzi kila siku kwa kuwa najua...
Bada ya kumaliza chuo mimi na Rafiki yangu kipenzi John (jina la uongo) tulipanga gheto survey na kutafuta ajira hadi sori kuisha lakini hola ,ukweli kilichotuleta mjini ni kufaulu form six na...