Hamna kitu mwanamke anataka kwa mwanaume zaidi ya pesa

sikubaliani na hii mada,ukiona pesa zako zinatumika sana ujue huyo mwanamke hajakuelewa,kuna wanawake hawana shida na pesa,na wanajua kupenda,bado endelea kuizunguka dunia uendelee kufanya utafiti vizuri juu ya ukisemacho usipotoshe jamii hapa,wa kwako ndio mpenda pesa sababu hakuelewi/hakupendi..
 
We utakua kiben ten sio bure
 
Back
Top Bottom