Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
.
Alie mara ngapi mkuu[emoji3] [emoji3]Aisee pole umeandika kwa uchungu sana, usije ukalia tu
Yaan hizi papuchi hizi shida tu mtu na midevu yake anatoa machoziAlie mara ngapi mkuu[emoji3] [emoji3]
Angekuwa karibu ungemhag umfariji aiseeJikaze bwana
PoleeeeWakuu alchonitenda mama swalehe ni kitu kigumu mno nlimpenda huyu mwanamke Hamnaa kitu atake sijampa toka tukiwa wanafunz nshawah kubal kuchapwa viboko na staff sabab ya kumlinda nlimpa kila kitu ambacho mwanamke anahitaji upendo wa kila namna wakuu lakini siamini alichonfanyia wakuu kuumizwa na mapenz ni hatari mno lusy elly popote ulipo jua umejeruh huu moyo sijui mungu atakufanya nini ila nakwombea baraka aisee love hurts!!!!
Hujaamua tuKaz kujikaza mkuu
be humble
Hahahaha babu hahaha hapana kwa kweliAngekuwa karibu ungemhag umfariji aisee
Pole mkuu, hawa viumbe mungu anawajua mwenyewe alivyowaumbaWakuu alchonitenda mama swalehe ni kitu kigumu mno nlimpenda huyu mwanamke Hamnaa kitu atake sijampa toka tukiwa wanafunz nshawah kubal kuchapwa viboko na staff sabab ya kumlinda nlimpa kila kitu ambacho mwanamke anahitaji upendo wa kila namna wakuu lakini siamini alichonfanyia wakuu kuumizwa na mapenz ni hatari mno lusy elly popote ulipo jua umejeruh huu moyo sijui mungu atakufanya nini ila nakwombea baraka aisee love hurts!!!!
Pole sana jombaa jikazeNmelia sana mkuu
be humble