Ni heri umnyime tendo la ndoa siku zote sio msimu huu wa baridi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kwa kweli tunajua kwamba kuna muda mnachoka sana na shughuri za Nyumbani na kupelekea kupoteza ata hamu ile ya kufanya tendo la ndoa.

Kwa niaba ya wanaume wenzangu naomba tu niwaambie katika siku wanaume tunaenjoi game(show)basi ni msimu huu wa baridi

Hapa ata kama mwanaume (boyfriend) wako yupo goi goi ukifikia msimu huu basi lazima utaona mabadiriko mengi sana pale kunako 6 kwa 6.

Jaribuni kupangilia baadhi ya kazi zenu kwa kweli ili ata ikifika ule muda muafaka uonyeshe ushirikiano kuliko kunyimana au kususiana ajipakulie mwenyewe.


Na baridi hii ukileta habari za kunyimana ndio mnakaribisha migogoro ndani ya ndoa(mahusiano)

Huu ndio ule msimu wa ndugu zangu waislamu kuongeza wake,
Sasa basi kama hutaki kuletewa mke wa pili jitahidi sana huu mwezi kuwa mbunifu plus na kila aina ya vionjo ili tu baridi hii ipite salama

Huu ndio msimu ambao michepuko ina nguvu sana na ndio msimu unaotekeleza ahadi Nyingi sana kwa michepuko,

Sasa basi kama uko unaishi na mchumba,au mume nyumba moja jaribu sana tena sana kumuweka karibu nawe ukizembea tu lazima wadangaji wajishindie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom