Je kuna ukweli wowote hapa?

Je kuna ukweli wowote hapa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,413
Reaction score
127,499
Kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1970 hadi 1985 wamejifunza kufanya Ngono kupitia kwa Mabeki Tatu au Wadada wa Kazi?

Haya wale Wanaume mlioanzia ' Kupasha ' kwa Mahausigeli wa hiyo miaka tajwa hapo juu hebu jitokezeni haraka ili mtiririke na mserereke wenyewe ili Sisi tuliozaliwa miaka ya 2000 tuweze Kujifunza lolote.

Nawasilisha.
 
Hili linaweza kuthibitishwa kwa tafiti rasmi,hapa kila mtu ata comment kivyake tu na atakavyopenda yeye.
 
Mbona hawaji jamani kuna watu kama 7 hivi nasubiri kuwaona au sijui watapita mbiooooooooooo lol, nakumbuka Dada wetu wa kazi alikua anapendwa mpaka akienda kwao Kaka zangu walikua wanasema nyumba bila Dada khadijah imepwaya
mpaka wameoa wao hawataki aondoke,sasaivi amekua mtu mzima ila wanakwenda kumuona na wake zao wanasema huyu ametufunza mambo mengi sanaaaaaaaaaaaaa ila haya semwi ni yepi.
 
Hayo mambo ya wadada wa kazi yameanza miaka y vizazi vyenu.Wakongwe wa miaka hiyo hatukupata bahati ya kuhudumiwa na mabeki tatu.
 
Hapo ulipotaja tu jina la Khadija ( House Maid ) umenishtua sana Mkuu ila hata hivyo naomba niishie hapa tafadhali.
 
Hayo mambo ya wadada wa kazi yameanza miaka y vizazi vyenu.Wakongwe wa miaka hiyo hatukupata bahati ya kuhudumiwa na mabeki tatu.

Unaposema miaka yetu unamaanisha nini labda Mkuu? Mimi ni wa 50's sasa hao Wadada wa Kazi nawajua wapi?
 
Lkn Hawa bek 3 na watoto wa get kali n watamu jmn nyie achen tu

Naona mliozaliwa mwaka 1970 hadi 1985 na mlioanzia ' Kupasha ' kwa Wadada wa Kazi mnaanza sasa Kujitokeza / Kujitanabaisha. Safi sana!
 
Sasa mkuu mbon ukitumia sense ya kawaida tu hapa unapata majib. Miaka hyo nyumba ngap zilikua zna uwezo wa kuafford hao mabek tatu au madada wa kazi? Ina maana kama nyumba chache bas ni vijana wachache pia. Hapa hata tukiulizana vijana waliozaliwa miaka hyo wangap kwao waliishi na vidada vya kaz.
 
Back
Top Bottom