Mume na mke kuishi mbali mbali, 'is it healthy'?

queeny

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
584
Reaction score
422
Habari wanajamvi,

Kuna rafiki yangu anafanya kazi Iringa na mumewe anafanya kazi Dar. Wana mtoto mmoja.

Toka walipooana (miaka mitatu iliyopita) hawajawahi kuishi pamoja maana mdada alipata kazi one week before marriage, so ikabidi akaripoti kazini na kumuacha mumewe Dar.

Sasa anasema anataka kuacha kazi ili akaishi na mumewe kwani anadai kachoka maisha ya usingle na kulea mwana peke yake.

Je ni sawa kwa maisha ya sasa kuacha kazi? Je, ndoa na familia si muhimu pia? Ameshajaribu kutafuta kazi Dar lakini hajafanikiwa.

Nimemwambia sometimes money is not everything. Wanajamvi mwasemaje maana dunia ya leo wengi wamejikuta wanaishi mbali na wenza wao kwa sababu mbalimbali hasa kazi.

Je, hii arrangement ni health kwa ndoa na familia kwa ujumla ukizingatia vishawishi vya sasa?

Toeni experiences na ushauri wenu.

Asante.
 
uliambiwa kazi ni kuajiriwa tu? watanzania wote wameajiriwa? mbona wengi wamejiajiri na wanaendesha miradi yao! bora kuacha kazi na kuishi na mmewe kuliko...'Tuko Wangapi?'!
 
Habari wanajamvi. Kuna rafiki yangu anafanya kazi iringa na mumewe anafanya kazi dar. Wana mtoto mmoja. Toka walipooana (miaka mitatu iliyopita) hawajawahi kuishi pamoja maana mdada alipata kazi one week before marriage, so ikabidi akalipoti kazini na kumuacha mumewe dar. Sasa anasema anataka kuacha kazi ili akaishi na mumewe kwani anadai kachoka maisha ya usingle na kulea mwana peke yake. Je ni sawa kwa maisha ya sasa kuacha kazi? Je, ndoa na familia si muhimu pia? Ameshajaribu kutafuta kazi dar lkn hajafanikiwa. Nimemwambia sometimes money is not everything. Wanajamvi mwasemaje maana dunia ya leo wengi wamejikuta wanaishi mbali na wenza wao kwa sababu mbalimbali hasa kazi. Je, hii arrangement ni health kwa ndoa na familia kwa ujumla ukizingatia vishawishi vya sasa? Toeni experiences na ushauri wenu. Asante.
Mkuu kwa uzoefu nilio nao si jambo la busara kuishi mbali na familia yako, hasa vijana ni hatari saana, vishawishi ni vingi, na mtakosa mambo mengi ya kuchangia mkiwa wawili!!! Tafadhari nawaomba wanangu kama mzee tafuta namnayoyote muweze kukaa pamoja muweze kulea watoto wenu,mkafaidi ndoa yenu, vinginevyo mtajutia kuwekana mbali mbali!!!!!

Habari wanajamvi. Kuna rafiki yangu anafanya kazi iringa na mumewe anafanya kazi dar. Wana mtoto mmoja. Toka walipooana (miaka mitatu iliyopita) hawajawahi kuishi pamoja maana mdada alipata kazi one week before marriage, so ikabidi akalipoti kazini na kumuacha mumewe dar. Sasa anasema anataka kuacha kazi ili akaishi na mumewe kwani anadai kachoka maisha ya usingle na kulea mwana peke yake. Je ni sawa kwa maisha ya sasa kuacha kazi? Je, ndoa na familia si muhimu pia? Ameshajaribu kutafuta kazi dar lkn hajafanikiwa. Nimemwambia sometimes money is not everything. Wanajamvi mwasemaje maana dunia ya leo wengi wamejikuta wanaishi mbali na wenza wao kwa sababu mbalimbali hasa kazi. Je, hii arrangement ni health kwa ndoa na familia kwa ujumla ukizingatia vishawishi vya sasa? Toeni experiences na ushauri wenu. Asante.

Pagumu hapa, lakini kwa maisha ya sasa hivi kuacha kazi kuja kusonga ugali, si jambo jema na jepesi.
USHAURI: kama wanavyoelewana na mume kukaa mbali mbali vumilia hivyo huku nguvu kubwa ikifanywa kupata kazi Dar. Ni kumuomba Mungu apishie mbali shetani mla watu. Huko mbele kutakuja mwanga kuliko kuacha kazi sasa.
 
Mkuu, out of sight out of mind. Arudi kwa mumewe, anaweza kupata hela huko Iringa na kumbe Dar ndoa ilishaisha akiwa yuko Iringa analinda ajira..
 
uliambiwa kazi ni kuajiriwa tu? watanzania wote wameajiriwa? mbona wengi wamejiajiri na wanaendesha miradi yao! bora kuacha kazi na kuishi na mmewe kuliko...'Tuko Wangapi?'!
Tuko milioni 44 sasa hivi....Ha ha ha just joking. Ushauri mzuri, sio lazima kuajiriwa, atafute kazi ya kufanya akaishi na Mumewe Dar...Japo mambo yakiwa magumu pia awe tayari kuvumilia. Ni makubaliano ya wote wawili, isijekuwa anahaingika kuhamia Dar kumbe Mumewe hataki
 
Ajiulize wako wangapi hiyo hela anayoitafuta itamletea ukimwi

Sidhani couples wote walio na ukimwi walikuwa wanaishi mbali mbali! Nakubali kuwa mbali ni one of the predisposing condition/factor, lakini sio major determinant ya HIV infection among spouses! Anyway, kukaa wote ni kuzuri.
 
Vyote muhimu, ndoa na ajira. Kukaa mbalimbali si sababu ya ndoa kukosa afya mana mbona watu wanaeza kuwa pamoja na bdo ndoa isiwe na afya. Ni uaminifu tu baina yao ndo muhim.
 
According to her, mumewe anapenda arudi dar na kwa jicho langu la mbali naona wana relationship nzuri, but will they live like that 4ever? Ndo maana huyo dada anataka aache kazi b4 its too late.
Tuko milioni 44 sasa hivi....Ha ha ha just joking. Ushauri mzuri, sio lazima kuajiriwa, atafute kazi ya kufanya akaishi na Mumewe Dar...Japo mambo yakiwa magumu pia awe tayari kuvumilia. Ni makubaliano ya wote wawili, isijekuwa anahaingika kuhamia Dar kumbe Mumewe hataki
 
na ingewezekana angeondoka hata leo maana wanaume hawaridhikina mtu mmoja atakuta ameishapata nyuma ndogo huko.
 
queeny mshauri mwenzio asiache kazi na atafute njia ya kuwa karibu na mume wake!

Kwa hali ya kawaida wanandoa kukaa mbali mbali risk ya kusaliti ndoa ni kubwa hasa kwa wanaume!

Kuacha kazi hakuto msaidia chochote!

Habari wanajamvi. Kuna rafiki yangu anafanya kazi iringa na mumewe anafanya kazi dar. Wana mtoto mmoja. Toka walipooana (miaka mitatu iliyopita) hawajawahi kuishi pamoja maana mdada alipata kazi one week before marriage, so ikabidi akalipoti kazini na kumuacha mumewe dar. Sasa anasema anataka kuacha kazi ili akaishi na mumewe kwani anadai kachoka maisha ya usingle na kulea mwana peke yake. Je ni sawa kwa maisha ya sasa kuacha kazi? Je, ndoa na familia si muhimu pia? Ameshajaribu kutafuta kazi dar lkn hajafanikiwa. Nimemwambia sometimes money is not everything. Wanajamvi mwasemaje maana dunia ya leo wengi wamejikuta wanaishi mbali na wenza wao kwa sababu mbalimbali hasa kazi. Je, hii arrangement ni health kwa ndoa na familia kwa ujumla ukizingatia vishawishi vya sasa? Toeni experiences na ushauri wenu. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa siku hizi si mnasema kuwa kazi ndo mume wako wa kwanza???.....
 
Wangetafuta mtaji kwa pamoja ili waanzishe biashara baada ya mmoja kuacha kazi.Ningependa mwenye mshahara mdogo ndo aache kazi na kumfuata mwenzie.Huku wakitafuta kazi.
 
Mimi binafsi nilishaacha kazi ya kuajiriwa Dsm, kwa kumfuata mke wangu kwa mwanzo hali likua ngumu kuikubali,lakini kila nikimfikria mke wangu jinsi alivyokuwa imani ilinishinda.
Mwanamme bila taarifa nikatia timu A Town,wife alifurahi sana, pia familia zetu zilituunga mkono
 
mwe!! hapo ukipitiwa mbavuni wala usilalamike....watu wanashangaza sana...mmeoana ili muwe under one roof lakini sasa eti mke na mume mpo miji tofauti sii bora msioane tuu.
 
Back
Top Bottom