Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

C & P ________________________________________ Unaweza kumpigia simu mpenzi wako mkale bata mahali flani akakwambia hana nauli na wakati anakipato kizuri tu na mbaya zaidi nauli haizidi hata buku...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Salamaa wana MMU Kama mada inavyojieleza Nipo Mkoani huku nafanya kazi,sasa naishi chumba cha rafiki angu ambaye sasa tumekua kama ndugu Huyu Jamaa kaoa na yupo Daslama huko na nke wake ,hivyo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Sometimes it's thoughtful to say poverty is just a state of mind! Kama una afya njema, hutumii vilevi vikali na huna maradhi ya kurithi basi unayo nafasi ya kunufaika na soko la uuzwaji wa mbegu...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Jamani nilikutana na mubaba mumoja akanipenda mimi nami nikataka kumuchuna tu...nikachuna kialtezza appointment kulala ikawa Seychelles nikaenda mhhh nikakuta kajaaliwa muzuri sana chini anajua...
13 Reactions
196 Replies
29K Views
Vijana wengi wa kiume tumeshindwa kuoa kwa sababu ya kutokuwa na Ajira, huku wadada wakilalamika kutoolewa
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa letu pendwa, kama kawaida yangu ya kuelimishana juu ya masuala mbalimbali yahusuyo mapenzi. Leo tena nimekuja na mada ihusuyo baadhi ya tabia ambazo wanaume hawazipendi kutoka...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Miaka hio tohara ndo inaanza kupata umaarufu ukiwa umetahiri unajiona ndo kidume pekee, basi na mimi nikaona isiwe shida na mimi nikafanyiwe tohara ili nitambe mtaani kwetu, kwakuwa walikuwa...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Wahenga walituasa kuyalinda na kuyaheshimu Mahusiano kwa hali yoyote ile itakayotokea. Lakini tokea mpenzi wangu aanze kusumbuliwa na kisukari Amekuwa haniridhishi kitandani kwa muda mrefu...
6 Reactions
137 Replies
21K Views
Guys, tangu jana nimekua nina mawazo sana, sielewi nifanye nini ili nikae sawa ingawa najua litapita ila sijui litachukua muda gani. Ipo hivi, jana mpenzi wangu ameniambia siri aliyoificha kwa...
8 Reactions
191 Replies
10K Views
Hamjambo wadau, Naam kama kichwa cha habari kinavyosema, Nimefikia uamuzi huu kwa sababu nyingi tofauti, ila ni jambo jema sana kuoa. Niombeeni dua.
1 Reactions
116 Replies
7K Views
Kwa kabla ya yote nipende kumshukuru Mungu kwa kuwa hai paka sasa cha pili nimefurahi sana kwa jamii forum kurudi hewani bila kupoteza muda niaze...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwanamke ni kiumbe ambae amekuwa chanzo kikubwa sana cha mafanikio ya mwanaume,lakini pia huyo huyo mwanamke amekuwa chanzo kikubwa sana cha maisha magumu kwa mwanaume.Unapoona mwanaume...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kusumbuana na huyu mzee kwa miaka kumi sasa na kuzaa nae watoto wawili, nafikiri ni muda sahihi wa mimi kupata raha. Nina miaka 20 ya mwishoni, huyu baba ndiyo mwanaume wangu wa kwanza...
4 Reactions
180 Replies
18K Views
Whats life without the company of some loved ones and a few good friends. Katika maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali, na wengine tungependa kuanzisha mahusiano nao. Hasa hasa ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
wapenzi wa mmu habari zenu? bila kupoteza muda tuanze na 1 ; single mother, double mother n.k lazima atakuwa anazifaham vizuri dushelele za wanaume yupi mwenye mashine na yupi kibamia. 2 ...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mahusiano mengi ufika kikomo au kutoelewana baina ya wapenzi wawili kwa kisingizio cha usaliti, mara fulani kamkuta na fulani, mara huyu kakuta sms za mapenzi kwenye simu ya mwenzake, hizo ni...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwanini kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimeishi na huyu mwanamke kwa miaka miwili na nimezaa naye mtoto mmoja mwenye miezi 10 sasa. Kilichonipelekea mpaka kutaka kuachana naye ni yule mtoto wake wa kwanza amekaribia kuanza shule...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
Nina furaha sana kukupata wewe kipenzi cha moyo wangu,na ninafurahia sana maisha yangu nikiwa na wewe. Lakini kuna maneno mazuri na ya kweli ambayo napaswa kukwambia wewe kama mke wangu,ila kuna...
8 Reactions
99 Replies
11K Views
Back
Top Bottom