Nahisi nimempa beki tatu mimba sijui nifanyeje

Nahisi nimempa beki tatu mimba sijui nifanyeje

Morgan james

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
28
Reaction score
1
eh bhana beki tatu kaniambia yu kwenye siku zake nikalazimisha kondomu mchezoni kama kawa baada ya cku tatu nikataka tena nikiwa mchezon kondom ikapasuka kumuuliza cku zako zlikata lini akaniambia jana asubuhi caca cjui nimeacha majanga au embu nishaurini wanamember wangu.
 
hakikisha unamtunza mtoto wa watu mpaka anajifungua na umuowe awe mkeo.
 
Fafanua vizuri, huyo beki tatu ni wa nyumbani kwako, au kwenu au kwa ndugu?
 
mwanamke akiwa kwennye siku zake hawezi pata mimba au ujauzito kwani yai linakuwa limeharibika tayari so uko saalama mkuu, next time punguza kutuppia mabeki tatu japo ni watamu sanna
 
Hata mzunguko wa wanawake huujui....
.... kweli kizazi cha nyoka mna kazi, hata kwenye siku zao bado mnamega tu.... khaa!
 
Jamani hiyo damu wewe huiogopi? duh watoto wa sikuizi hamna uwoga hata wa maradhi...kama umelikoroga linywe...
 
hv huo ujasiri wa kulabua mabeki 3 tena kavu huwa mnautoa wapi? hamkumbuki kuvaa bect nasso
 
...with all due respect, mkuu Morgan james hujatutendea haki hii story kuipa "news alert", mi najua bonge la news,kumbe unarukaruka tu na kitoto cha watu...? aaaghhh...!
 
Last edited by a moderator:
duuuuuuuuu, dio maana nashauri tuwe tunatembelea JF usiku, ona sasa watoto nao wanauliza vitu vya ajabu ajabu
 
anza kununua pampaz na nep,ujiandae mapema si unajua maisha yanakaba muda fulani,kweli ujana maji ya moto.
 
anza kununua pampaz na nguo ili ujiandae mapema si unajua maisha yanakaba muda fulani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom