Huyu mwanamke ana maanisha nini?

Huyu mwanamke ana maanisha nini?

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu

Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina mke,akasema haina shida

Katika mahusiano yangu na yake tulifanikiwa kupata mtoto,ambapo hata kadi ya clinic jina la mtoto ,baba wa mtoto aliandikwa ni Mimi

Baada ya miezi tisa huyu mwanamke alienda masomoni,akiwa masomoni,kwa kweli alipunguza mahusiano na Mimi,awali amejiunga na chuo nilikuwa naenda kumuona ila baadae nikaona kuna dalili ya jamaa kuchukua nafasi
Nilipofuatilia mbona unafanya hivyo na tumezaa mtoto,akasema mtoto sio wangu,niachane nae

Ikabidi nikae pembeni,baada ya miaka 2, huyu mwanamke siku moja akanitumia SMS kuwa,"Baba fulani(jina la mtoto wake) hata kumjulia hali mwanao hamna,miaka hiyo yote jamani!

Nimeshindwa nimjibuje huyu mwanamke
 
Ukizaa na mwanamke nje ya ndoa yako bila mpango wa kumuoa hapoumelikoroga.

Mwanamke huyo akikuletea maneno ya ajabu, au mtoto akikua na kuwa mtu valuvalu kwa sababu hajalelewa na mapenzi ya baba, hapo ukubali kulinywa ulilolikoroga tu.

Maana hamna jinsi.
 
Bora angeniambia mtoto ni wako,ila sihitaji mahusiano na wewe,kama ni mtoto utakuwa unamtumia matumizi
 
Afuu acheni upuuzi wanaume wengine... Wewe upo na mwanamke mmezaa mtoto mnafanana mpaka kuchaa...tokana na starehe zake na kutaka kuwa huruuu kudangaa anakwambia mtoto sio wakoo kwa Hasiraa unakubali kirahisi tu!????? labda Kama humtaki huyo mtoto ilaa mwanamke akiwa na hasiraa anawezaa sema chochotee baadae akili zikimjia ndo analetaa hayo mamboo.. so Kwanza fanyaa kipimo cha macho...ukiwezaa DNA afuu tuliaa
 
Duh
 
Hasira ya miaka miwili uhuhuhu
 
Bora angeniambia mtoto ni wako,ila sihitaji mahusiano na wewe,kama ni mtoto utakuwa unamtumia matumizi
Mtoto huna mawasilianonaye kwa muda wote huo, simaanishi vibaya, lakini unajua kwamba anaweza kufariki kwa kukosa uangalizi mzuri wa wazazi akawa si wako wala wake na hayupo tena duniani?

Ulivyomtia mimba huyu mama ulikuwa na mpango gani na huyu mtoto? Na ulijihakikishiaje kwamba kizungumkuti hiki hakitakukuta?

Au ulikuwa hufikirii mbele?
 
Mipango ilikuwepo,kuwa dini yetu inaruhusu ,hapo baadae baada ya kumaliza chuo tungeoana maana na dini inaruhusu,ndo akafika chuo akabadilika
 
huyo mtoto yawezekana ni wako/sio wako sema alipata bwana anaye mpenda na kumuhudia zaidi yako (huko chuoni ) akaona ww ni kikwazo dawa ni kukwambia mtoto si wako

sasa ameachika anatafuta namna ya kurudi ili utoe msaada. haiingii akilini 2yrs mtu kauchuna
 
Afuu acheni upuuzi wanaume wengine... Wewe upo na mwanamke mmezaa mtoto mnafanana mpaka kuchaa...tokana na starehe zake na kutaka kuwa huruuu kudangaa anakwambia mtoto sio wakoo kwa Hasiraa unakubali kirahisi tu!????? labda Kama humtaki huyo mtoto ilaa mwanamke akiwa na hasiraa anawezaa sema chochotee baadae akili zikimjia ndo analetaa hayo mamboo.. so Kwanza fanyaa kipimo cha macho...ukiwezaa DNA afuu tuliaa
Ukishazaa na mwanamkemwingine, hujamuoa, unamke wako, hujamuhudumia mtoto, huna mawasiliano muda mrefu, ushakubalihuyo mtoto si wako.

Waswahili walisema "undugu ni kufaana, si kufanana".
 
Wanawake baadhi i swear ni wapuuzi sana, .. Hapo anajua mtoto niwako. Ila kwaule wakat alikua keshafika chuo sasa ameshapata mtu wakumtomba kwaiyo njia pekee yaww kutompa usumbufu ilikua niyeye kukuambia jambo lakukuumiza .

Ndio maana alokuambia sio wako...

SASA DAWA YA MOTO NIMOTO.,, NAWW MWAMBIE UNAKUMBUKA ULISEMA MTOTO SIO WANGU??? NAMM MPAKA LEO NMEKAA KIMYA SABABU SINA UHAKIKA KAMA NIWANGU, NASIJUI UTAFANYA NN ILI NIAMIN NIWANGU ...hapa unakua kwanza umemkumbusha kitu akichokisahau, pili umetengeneza Ukuta wa yeye kushindwa kukupiga mizinga...tatu, unamzuia yeye kuanza kujirudi ,nne,,, umempa kazi kubwaa sana yayeye kukurudishia iman kua nimwanao.

Kuna demu, niliwah kua naye, sasa bwana, mimi nilikua mbali nayeye yupo mbali, siku moja ananiambia, "Am sorry fulan, nahis nmekukosea maana hapa njia pekee nikuniacha, mimi nina mimba" ......

Kiuhalisia mimba hakua nayo, ila alikua ananijulisha ironically kua "Ameshatombwa" .... Nikamwambia poa namm nimekuacha rasimi...

Katombwaa weeeeeew , baadae anakuja kunitext, " wee mwnamme mmbaya wee ,hata meseji? Toka nikutanie ninamimba ndo basi ?"..nilimpa jibu moja.

"Kwaiyo umeliwaaa weeeee ,umetemwa ndo umerudi??"... Toka siku iyo haishi vimeseji vya sorry baby.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom