Vijana wengi hata watu wazima walipo kwenye ndoa wanajichua

mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,349
2,086
Vijana wengi hata watu wazima walipo kwenye ndoa na wasiokuwemo, wamekuwa ni victims wa mastabartion/ kijichua wake kwa waume. Ni mda gani hasa watu hushawishika kujichua:

Kwanza ni wakati wakuoga, ni vile kwamba ukiwa unaoga unakuwa falagha na umtupu/uchi. Hii huamsha hisia za mapenzi na kuvuta taswira ya mtu upendae na kumvutia hisia, hapo lazima mtu ajichue. Kwa wanawake hupenda sana kutumia maji ya joto kwa kujimwagia na kusugua sehemu ya kiharage ili kupata utamu.

Pili ni wakati ukiwa chumbani, hapa kwa kuwa umekuwa umetuliza akili, unavutia hisia kama vile umelala na umpendae. Hapo ni rahisi kumweka mtu kwa taswira yako na kujichua kwa mikono dry au mafuta.

Tatu inaweza kuwa Chooni,au eneo lolote lenye uficho, au eneo lolote amabalo umekaa kwa utulivu linalokupa nafasi ya kuingiza mkono sehemu za siri na kuzisugua.

Namna ya kuacha, waathirika wengine wa tatizo hili hupata ugumu sana kuliacha, unaweza jitahidi siku 2 but ukarudia tena. Ili uachane na hili tatizo kwanza;

Nikukichukia kitendo cha kupiga puli, tendo la aibu na kufedhehesha ni dhambi ya uchafu kama zilivyodhambi za uzinzi, zinakutenga na Mungu na kukusesha Neema na baraka maishani mwako.

Ndo maana ukishamaliza kujichua unajilaumu, kujutia, kujionea aibu na kupata frasturation juu ya tendo ulilofanya. Jiweke karibu na Mungu na ujiwekee malengo ya kutorudia tena aibu hii.

Ushawahi kufikiria kwamba unafumaniwa na mtu yeyote ukiwa unajichua? Ni aibu sana kuliko kukutwa unafanya mapenzi ya kawaida.

Kwa walio kwenye ndoa kama jitahidini kwenda kuoga wote pamoja, peaneni tunda any time of need. Wengine hupanga ratiba nk. But make sure you do many times as you can kumaliza hamu zenu.

Napenda kusisitiza tuache punyeto kwani ni dhambi, haina faida na inkupelekea kupata msongo wa mawazo. Inawezekana kuachana na kusahau kabisa hili tendo.
 
Punyeto inaua mahusiano ya watu jamanii..huleta ubinafsi na kuwafanya watu kuwaona wapenzi/wachumba wao kama mapambo tuu/si kitu kwao...

Neno la Mungu linasema katika 1Wathesalonike 4:4-5 "kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima,si katika hali ya tamaa mbaya,kama mataifa wasiomjua Mungu."

Hebu turuhusu Neema ya Mungu iguse maisha yetu jamanii.
 
Ubarikiwe mtumishi.
 
Shikamoo mama mtumishi

amina mama pia kasome wakolosai 1:5 haf jna mbna ukankimbia
 
Back
Top Bottom