Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Haki za wanaume ziko wapi?!
Anachofanyiwa Mr Peter Zacharia ni unyama.
Ameoa mwanamke kwa ndoa halali, wamepata mtoto, amemuhudumia mtoto kila kitu shule, afya,chakula na malazi, kisha mwanamke kakimbia nyumba na mtoto kamkabidhi mwanaume mwingine kuwa ndio baba.
Kwenye msiba wa mwanae anafedheshwa Instagram kuwa mtoto hakuwa wake yaani hata masela wake aliosomanao wanajua alipigwa bao la kisigino.
Dah
Inauma