Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za leo naombeni kujua jambo ukitaka kujua huyu mwanaume anakupenda na huyu anakudanganya utajuaje naombeni ushauri. walionaexperience waniambie wasio serious msireply kwani nataka kujua . namimi...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Mambo, Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni kitu cha kustaajabisha lakini ni kweli kipo Sema ishu watu wengi hawajagundua na hawajui Leo nawapa somo... Kuna wanawake wanazaliwa hawana uke hii ni kawaida uwa inatokea kimaumbile... Ni...
5 Reactions
139 Replies
25K Views
MWANAMKE WA KUFAA KUOA NI.... 1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema. 2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao...
18 Reactions
39 Replies
5K Views
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mapenzi ni neno zito sana kwa sababu ndani yake mna mambo chungu mzima kama trust, upendo, watoto, furaha, kusaidiana, maisha ya watu, kuunganisha familia ndugu jamaa na marafiki n.k Iwapo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aisee, leo nimeshangaa sana. Mimi tangu kuzaliwa sijawahi piga punyeto. Ila ndoto nyevu, ni nyingi hazihesabiki. Enzi hizo nikimpenda mtu, kwa kuwa nilikjwa mwoga siwezi tongoza, basi kuota ndo...
4 Reactions
49 Replies
10K Views
Kama mada hapo juu inavyoeleza nimeoa wake wawili lakini msoto ninaoupata ni tabu tupu. Kila mwanamke yeye anataka nimthamini zaidi ya mwenzake wakati nawapenda wote halafu sitaki kumuacha hata...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Kwanini ukutane na mwanaume kimwili kabla ya ndoa kama siyo umalaya na uasherati wako unakusumbua? Wanawake mngekuwa mnajua kujitunza miili yenu hii dunia ingekuwa sehemu salama sana ya kuishi...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Nilikuwa kwenye basi ni kutokea kwetu mkoa I juridical Dar risalama kibaruani. Pembeni yangu alikaa dada mmoja ana msambwanda mpaka nilimkumbuka shemeji yangu Behaviourist Kwakweki sikutaka...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Jirani yangu Engineer Peter alitafutiwa mchumba na wazazi kutoka kijijini kwao. Mchumba ni mtoto wa mkatekista Thomas, mama Peter alimpenda Immaculate mtoto wa mkatekista kwakuwa alimudu...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa siku hizi watu wengi tunaoana tukiwa tayari tumepitia mahusiano mengi ya nyuma... Na kwa sababu hiyo ni ukweli kuwa watu wengi wanaoana si kwa sababu anampenda sana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau habari zenu... Ninaomba ushauri wenu Mimi nimeoa na nipo kwenye ndoa yangu kwa zaidi ya miaka mitano (5)... Bado ninampenda mke wangu. Hivi karibuni rafiki (bestfriend) yake mke wangu...
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Je unajua kuna watu wana onana ndani ya miezi mitatu wanaanza vikao vya harusi kisha ndoa? Kama unajua kwanini unakaa na mtoto wa watu miaka zaidi ya mitatu utaki funga naye ndoa Je unajua kuna...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Yawezekana kweli tuna upendo wa dhati kutoka moyoni lakini tamaa ya mwili imekuwa ugojwa mkubwa wa akili za maisha yetu. Tumekuwa watu wa kupenda pale tunapowaona,lakini uwa tuna wadharau pale...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamami wanaume mlio owa msio kuwa hata na michepuko ukiona Umeacha kusimamisha gafra usikurupuke kusema nimeishiwa nguvu za kiume Pengine shuguri zako unazo fanya zinakuzidi uwezo ivyo unachoka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Shoga zangu, leo nawamegea machache ya kikungwi japo ukingwi sio taaluma yangu. Nashea na nyie tu yale yatokanayo na uzoefu wangu wa maisha. Nasema na nyie wadada mnaodhani kwa kubana hayo...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Katika maisha tunakutana na watu wengi, na katika kujumuika huko na watu, either ni mashuleni, nyumbani, majirani, kwa ndugu, kazini, mtaani n.k, rumors/tetesi mbalimbali zinajengeka kuhusu wewe...
5 Reactions
200 Replies
18K Views
Habari zenu wanajamvi, Nimekuwa na mahusiano na mtu mmoja kwa miaka mi5, hakuwa na ukaribu sana jambo lililofanya nihisi kuna mengi sijayajua. Mwaka wa nne wa kuwa na mahusiano nae vilianza...
2 Reactions
96 Replies
9K Views
Muwazima ndugu wenyenchi? Safari ya simulizi yangu ya kweli ilio ambatana na maombi ya msaada wa fikra zenu inaanzia hapa. Si zamani bali ni hivi juzi tu, mnamo tarehe 09/08/2015 nikiwa...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…