Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her? Hakuna tatizo kubwa au kosa kubwa lililosababisha nikose kumuamini. Saa nyingine nahisi ni wivu juu yake sasa as a...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Wanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it...
9 Reactions
72 Replies
7K Views
Natumia fursa hii kutoa hongera zangu za dhati kwa demu wangu mzazi kwa kutusua LST first sitting .. Hongera sana baby .. Cohort yenu wame disco watu kibao na wengine wengi wana vimeo ila wewe...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Acheni tu Nilimsubiria Ubungo usiku kucha alifika saa saba usiku. Tumefika nyumbani saa nane akaoga akalala aligoma kula nikala mwenyewe usiku huo. Kesho yake aliamka saa nane, tukaenda mtaani...
9 Reactions
109 Replies
11K Views
Nakumbuka siku moja nilifundwa mtoto wa kike unatakiwa kuwa safi muda wote, utakate mwili, ung'ae sura yani kwenye ndoa unatakiwa upendeze hata kama umejifunga kanga tu ila uwe umependeza...
17 Reactions
164 Replies
18K Views
Jamani nipo na mdada mmoja tupo sote kwenye program moja hivi huku vijijini actually ni office mate wangu na tupo karibu sana. Sasa ngoja mnisaidie gt's wa mmu tokea jana binti hana raha kula...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Jamani naomba mnisaidie nina mdogo wangu wa kike naishi nae ni 5 yrs asa wanafunga shule namuonea huruma kataboreka as tupo kijijini na siwezi kumuacha home peke yake naenda nae job sasa kitu cha...
4 Reactions
139 Replies
11K Views
Unakuta umeoa mwanamke mwema na anakupenda so unamkuta ana mali nyingi. Unamuacha tu akuzalie kisha unamuua ili uishi na unayemfeel, jamani inauma. Kama humpendi mtu mwambie na kama unapenda hela...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Za asubuhi wapendwa Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!! Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!! Hawaogopagi kuwachungulia wazazi...
28 Reactions
253 Replies
25K Views
Habarini wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kwamba wanawake wembamba aka models wanaolewa sana na kudumu kwenye ndoa kuliko wanawake wenye...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Mojawapo ya nyimbo nzuri sana kwa wanandoa ni hii ya Bahati Bukuku. Chorus Maneno yao umeyasikia maneno yao × 4 Verse Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako Eti wanasema kukupata wewe mimi...
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi ya kuwa wanawake wengi sana huingiliwa kimwili na waganga wa kienyeji aidha kwa matakwa yao...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nawaza kwa kina ni kwa namna gani nitakuwa salama kwenye mahusiano katika ulimwengu huu ambao uaminifu, imani uvimilivu, upendo wa kweli vyote vimeondoka katika mioyo ya binadamu. Siku hizi watu...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Yaliyopita yanafurahisha Nakumbuka back 2007 nikiwa nimerudi likizo ya chuo Nikaamu kutafuta kazi ya kufanya ili nisiboreke Sana kitaa. Bro akanikonect na boss lady flani hivi aliyekuwa...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Natafuta rafiki yoyote wa kike aliyeko mwanza umri kuanzia 18_28 Asiwe na mchumba wala boyfriend. Dini yoyote mm n christian
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wadau, Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwasababu ni asilimia kubwa sana ya wanaume wanalalamikia ndoa zao. Ndoa zimekuwa na kero nyingi na mikasa ya ajabu haswa usaliti n.k ndoa ina...
6 Reactions
144 Replies
20K Views
habari naitwa junior natafuta mchumba wa kike miaka 25 mon 31 kibonge God fearing mvumilivu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wanajukwaa, Pesa sabuni ya roho. Pesa chanzo cha maovu yote. Misemo tajwa hapo juu ni baadhi ya taswira jinsi pesa inavyodhaniwa, mjadala wetu unachonganisha juu ya uwezo wa pesa kama...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Naumia nionapo chozi lako sihitaji kuona michirizi ya huzuni katika mashavu yako ingawa mapenzi uvumilivu ,usikivu nashukuru Masikio yangu yana mwangwi wa sauti tulivu itokayo kinywani mwako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa Kuna kadhia nimekutana nazo katika ndoa za jamaa zangu watatu tofauti ambao mmoja ni jamaa yangu toka utotoni, mmoja nilisoma nae shule ya sekondari kidato cha tano na sita na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…