Mwanawake kuishi na wdogo wa kike kwenye ndoa ni kumtega mmeo

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Wakuu,

Naomba tujadili hii dhana ya wanawake kuishi na wadogo zao wa kike kwenye ndoa zao.

Kama mjuavyo familia nyingi za kiafrika kuna utegemezi, hivyo hufanya kati ya mke au mume kuishi na ndugu zao.

Utakuta mke ana mdogo mkaree hatari kuliko yeye alafu anamleta kwake, na mjuavyo mavazi ya mabinti wa siku hizi ni balaa.

Kama mjuavyo wanaume wanavichwa viwili...

Sasa wanaume/wanawake mje hapa mtuambie...
 
kabisaaa...wanaume wa sasa hivi aisee genye zimeshinda akili kwa kweli tuna mihemko sana muda wote tunatamani tufanye ngono na hii ndo sababu hasa tunaomba namba za wadada hovyo.sio kwamba wote tunaowaomba namba tunawapenda la hasha! sometimes baadhi yetu wanakojoa hata wakiona namba ya mdada tu kwa simu zao..kumuacha mdogo wako aliyenona na mumeo ni sawa kabisa na kupanda miwa karibu na shule ya msingi
 
Last edited:
Back
Top Bottom