Tuweke sababu hapa ambazo mpenzi wako alikupendea

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Mapenzi ni kitu cha ajabu,mtu anaweza akakupenda au ukapendwa na mtu ukatafuta alichokupendea au alichompendea mtu yule hukioni

Tuweke vigezo ambavyo mpenzi wako alikupendea mara baada ya kuingia kwenye mahusiano eitha alikwambia au uligundua mwenyewe alichokupendea

Mwanamke wa kwanza alinipendea jina langu,aliniambia kwamba nilipomwambia jina langu tu akaanza kunipenda kuanzia hapo

Wa pili,Nilivyokuwa najieleza,aliniambia ulivyokuwa unajieleza kwa kusita ,ulikuwa huongei mfululizo,unaongea kwa vituo kwa kusita kujifanya kushindwa kutamka baadhi maneno hapo tu ndo nikazimika na wewe

Wa tatu,ulivyonilipia chakula hotel baada ya kupoteza hela,mwenye hotel alivyokuwa amenibana vile ukajitokeza kunilipia tena hela ndefu vile nilikuona wewe ni mwanaume wa kweli

NNE,Ulivyokuwa unanipa hela mara kwa mara,hata bila kukuomba,nashtukia tu chukua hii 20 ukatumie,nilikuona mwanaume ni wewe unayenijali muda wote

Tano,ulivyokuwa serious na Mimi,kila dakika unanifuatilia,kila sehemu upo nyuma yangu,nikaona isiwe kero ngoja nikukubali

Sita,Ulivyonipeleka disco,ulivyokuwa unacheza na mimi, na zile nyimbo zilivuta hisia na kujikuta nakukubalia

Saba,niligundua mwenyewe kuwa huyu mwanamke kanipendea kazi niliyokuwa nayo maana jobless alikuwa haingii nao kwenye mahusiano

Nane,niligundua baada ya mazoea kuzidi tukiwa chuo ,mara kwa mara tunatembeleana room tukajikuta tunaingia

Tisa,Nilivyokuwa smart kuvaa,siku moja aliniambia sipendi mwanaume anakuwa rafu

Kumi,kila siku jioni nenda kwa Fulani mchoma chipsi akupe chipsi na soda,nikagundua amenipendea ofa ya chipsi,wanafunzi bwana( miaka30)

Kumi na moja ,kumpa mtaji wa biashara,hicho tu tukaingia kwenye mahusiano,akanipenda

Kumi na mbili,yeye alikuwa hajui kupenda,kila aliyekuwa anaomba game anamkubalia

Kumi na tatu,nilimbaka vichakani,akawa amenichukia ila baada ya wiki moja akaniita mwenyewe na kuniambia ananipenda

Ila hii ya mwisho sikushauri utaingia gerezani
 
Back
Top Bottom