Ukimvumilia msaliti basi ujue una siku chache

Ukimvumilia msaliti basi ujue una siku chache

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Namaanisha ukimvumilia mke au mume msaliti basi inaweza ikawa ni dalili mojawapo kuwa siku zako za kuishi hapa duniani zimebaki chache sana!Mwenyezi Mungu ametupa ruksa kabisa kumwacha mwanamke msaliti!Nina wasiwasi na akili za watu ambao wanawafuma live wapenzi au wake zao wakikwichikwich live alafu na kuwasamehe na kuendelea nao!kusamehe sio tatizo ila kuendelea nae ndio tatizo!kuna wanawake bilioni 4[emoji23] haijulikani wataolewa na nani sasa kwanini upate tabu
 
Kam a tabia zao zimefanana wanaweza kuvumiliana tu.
 
mambo ya simu yanakufaa lakini sio kufunda wana ndoa.
mbona wewe unashauri watumie simu used why usishauri wanunue mpya sababu used zimetumika?
 
mambo ya simu yanakufaa lakini sio kufunda wana ndoa.
mbona wewe unashauri watumie simu used why usishauri wanunue mpya sababu used zimetumika?
[emoji23] [emoji23] kwani hujawahi kusikia watu wamepewa bikra na wakashindwa kuzivunja?watu hao wanapatikana Dar tu[emoji23]
 
Na wewe ukifumwa unasaliti,uachwe au sio?
 
Back
Top Bottom