Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nikiwa bar fulani hivi jana, baada ya kutandika balimi zangu kadhaa, mara paap akapita kimwana! Kutupa ndoano ikanasa bila hata chambo. Baada ya chupa kadhaa tukaelekea kunako uwanja wa...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Hapo kabla nlikuwa ni mtu ambaye nasoma tu comments za watu JF naenjoy naendelea na shughuli zangu. Ila watu hawa walinifanya nifungue ACC JF. GuDume General Galadudu GENTAMYCINE paskal mayalla...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Long sex may kill you *MEN BEWARE! LONG SEX MAY KILL YOU!!!* Few weeks ago, I was called to see a patient. Without delay I rushed down the stairs and headed to the hospital wards. The man was...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Za muda huu wadau Kulingana na kipindi hiki mambo kubadilika hasa kwenye suala la watu kuingia kwenye ndoa, unaweza kuta mdada ana miaka hadi 30 lakini hajawahi kuolewa zaidi ya kumtembelea au...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
DAR: Serikali imesema itaanza kudhibiti umiliki holela wa 'line' za simu na hivyo chini ya usajili wa 'line' kwa alama za vidole mtu akitaka kusajili 'line' zaidi ya mbili itabidi ajaze fomu ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka flani nilikuwa maeneo ya posta nikawa nimekutana na dada mmoja mrembo ambaye tulisoma naye kidato cha nne miaka mingi iliyopita.alikuwa bado mkakamavu mwenye nguvu,afya na uzuri...
18 Reactions
82 Replies
13K Views
Mwanangu ana miezi kumi .natamani akifika miaka miwili ajue kusoma na kuandika.nitumie formular gani wakuu. Kwa sasa anajua kutumia poti hajisaidii ovyo,anasalimia,anajua kupunga bye bye, anajua...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Nakiri kupandisha huu uzi baada ya kuona my fellow men wakilalamika, halafu wadada wanakuja kujitetea na sababu zisizokuwa na mashiko. Hivi nyie na mizinga hamuoni aibu. Kila saa kuomba omba...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja...
2 Reactions
1 Replies
7K Views
Kumpenda mwanamke ni jambo la pili kabisa......Jifunze kumuheshimu kwanza...! Ukijua kumuheshimu basi kumpenda ni kazi ndogo sanaa! JUMAA MUBARAQ
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahusiano (yanaweza kuwa ya biashara, mapenzi, udugu, ujamaa ama urafiki, n.k). Mara zote mahusiano yana maumivu. Niamini Duniani kote hakuna mahusiano yoyote yasiyo na maumivu. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nishatafuna wengi idadi hata sikumbuki lkn sijui kwanini wanakuwa na kasoro mbalimbali. sijajua ni expectation zangu zilikuwa juu kuwa pengine uzuri ungeendana na utamu, yaani papuchi hazina test...
5 Reactions
113 Replies
20K Views
ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba...
4 Reactions
90 Replies
9K Views
  • Closed
Ni wiki kadhaa tangu mpenzi wangu aniache. Nilikuwa nimempenda kweli na nilimpata kipindi ambacho nilikuwa nimetoka kuachwa na mwanamke wangu aliyepita sababu kuu ikiwa ni pesa na kuniambia...
10 Reactions
117 Replies
14K Views
Nashangaa simu inaita. Namba ngeni. Nikapokea nasikia sauti ya mwanamke. Anajitambulisha mimi ni mkeo wa zamani. Nani nikumbushe wa zamani mpo wengi mbona. Alijitambulisha. Anhaa ni wewe za...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Wanajamii habari Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni miezi michache imepita toka ni hitimu shahada yangu na sasa hivi nafanya biashara zangu, Kama mnavyojua umri unapokuruhusu kufanya...
13 Reactions
146 Replies
14K Views
Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Nina mke mmoja ... Mama yangu mzazi alikuwa aninambia kuwa nisije nikaoa mke zaidi ya mmoja. (baba alikuwa na wanawake wengi) Majuzi nimekuwa kwenye urafiki na mwanamke hivi .. katika maongezi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Dar ni joto ila nilikuwa Dar hii ni wiki ya tatu dah nimeenjoy sana. Nilialikwa mahali pazuri, nyumba kali mtoto mashallah kijana msafi kabisaa mpaka moyo nimeangalia ndani njee. Dah kijana...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…